Kifo cha mtu gani maarufu kishawahi kukusikitisha?

Upo sahihi mimi mwenyewe nilikuwa nasikiliza kipindi chake toka nipo form one huku sijui lugha yoyote ya Congo.
Kuna mwingine ambaye pengo halijazibwa ni yule alikuwa anatafsiri nyimbo za kihindi.
 
Kuna mwingine ambaye pengo halijazibwa ni yule alikuwa anatafsiri nyimbo za kihindi.
Kweli Ila kuna madogo wapo Mlimani Redio wanachambua vizuri tu nyimbo na movie za kihindi Ila Zubeir Msabaha kaacha pengo sijaona wa kum-replace
 
Hata sisi hatukuwa na TV ndugu yangu sema ilikuwa kama tulio fulani hivi kubwa so kulikuwa na watu wengi sana ktk mabaa yenye tv na sisi ndo tukaonea hapo.
Possibly umenizidi umri kiasi. Sikumbuki kitu kabisa na pia hongera kwa kuwa na kumbukumbu ya moja ya matukio makubwa duniani
 
Albert Mangwair alifariki 2013 mpaka leo cjakubaliana na kifo chake,,, ile rap yake ilikua ni unyama sana.
 
Paka wangu kipenzi miriam toka afariki panya zimekuwq zikiniletea sana dharau zinakatiza hqtq mbele ya wageni wangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…