Kifo cha mtu gani maarufu kishawahi kukusikitisha?

Kifo cha mtu gani maarufu kishawahi kukusikitisha?

Kuna mtangazaji wa RFA anaitwa Zubeir Msabaha niliposikia Jamaa amefariki nikajua Jamaa ameacha pengo kubwa maana hakuna mtu mwingine yoyote anaeweza ku-fit kwenye kipindi chake cha Bolingo Time ni yeye pekee, Jamaa nilikua napenda alivyokua anatafasiri miziki ya Congo mingi nilikua nasikiliza na sielewi wanaimba nini maana sijui Kilingala wa kiCongo wala kiKasai
Upo sahihi mimi mwenyewe nilikuwa nasikiliza kipindi chake toka nipo form one huku sijui lugha yoyote ya Congo.
Kuna mwingine ambaye pengo halijazibwa ni yule alikuwa anatafsiri nyimbo za kihindi.
 
Kuna mwingine ambaye pengo halijazibwa ni yule alikuwa anatafsiri nyimbo za kihindi.
Kweli Ila kuna madogo wapo Mlimani Redio wanachambua vizuri tu nyimbo na movie za kihindi Ila Zubeir Msabaha kaacha pengo sijaona wa kum-replace
 
Hata sisi hatukuwa na TV ndugu yangu sema ilikuwa kama tulio fulani hivi kubwa so kulikuwa na watu wengi sana ktk mabaa yenye tv na sisi ndo tukaonea hapo.
Possibly umenizidi umri kiasi. Sikumbuki kitu kabisa na pia hongera kwa kuwa na kumbukumbu ya moja ya matukio makubwa duniani
 
Albert Mangwair alifariki 2013 mpaka leo cjakubaliana na kifo chake,,, ile rap yake ilikua ni unyama sana.
 
Paka wangu kipenzi miriam toka afariki panya zimekuwq zikiniletea sana dharau zinakatiza hqtq mbele ya wageni wangu
 
Back
Top Bottom