Kifo cha mwanangu kipenzi kimetokana na uzembe

Pole sana mkuu,

MHU 3​

1 Kwa kila jambo kuna majira yake,
Na wakati kwa kila kusudi chini ya mbingu.
2 Wakati wa kuzaliwa, na wakati wa kufa;
Wakati wa kupanda, na wakati wa kung’oa yaliyopandwa;
 
Pole ndg jipe moyo mkuu. Usemayo yana ukweli vifo vingi vya maskini hutokana na kukosa huduma stahiki za kimatibabu. Matajiri pekee ndo pekee vifo vyao huwa vimefika
 
Pole sana ndugu.

Kwa kweli huduma zetu za Afya zinasikitisha sana, hata hizi Hospitali binafsi nyingi tu ziko kimaslahi, pamoja na kuwa na infrastructure nzuri lakini wana uzembe mwingi kupitiliza.. Na hawajali
 
We waheshimu watu wote usichague wa kumuheshimu. Tatizo linalotukabili wengi ni kutaka kuonekana wema kwa kila mtu hili huzaa unafiki.

Nchi yetu imekwama kwa tabia ya namna hio hio ambayo imestawi katika jamii za watu wengi.
 
Daaa ilinikuta issue kama yako mwaka jana,najua shida unayopitia,pole sana Mungu akutie nguvu.
 
Daah pole sana Mkuu, kwani angetibiwa then wamuingize kweny mfumo baada ya network kurudi ilishindikana nin?
 
Pole sana mkuu
 
Kupoteza mtoto na kupoteza mzazi ni kitu kinachouma kuliko vyote na lazima network ikate.
Pole sana Mungu akupe nguvu
 
Pole mleta mada hebu tuambie tukio limetokea wilaya gani?
Kama unafanya siri nakushauri futa uzi wako maana hauna lengo la kuleta funzo na ufanisi sehemu za kazi zaidi ya kutaka sisi tuandike pole pia nakushauri kama inawezekana weka namba ya simu anayeweza akutumie chochote maana sisi wote ni ndugu na msiba hauna mwenyewe.
Kwa mara nyingine pole sana na Mungu awatie nguvu na RIP mtoto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…