Grealish10
Senior Member
- Mar 25, 2020
- 104
- 295
- Thread starter
-
- #101
Ni kweli nimemuomba mwanangu msamaha maana kama sii mimi niliemzaa kuwa maskini asingefarikiPole mkuu.Kifo Cha dogo kimenisikitisha Ila zaidi nihayo maneno yako kwamba 'umasikini wako ndo umechangia kumpoteza mwanao'.
Pole tena mkuu, usijilaumu kwa Hilo.
Ni bora tu ungekaa kimya maana wewe ni punguani yani kichwa chako hakipo sawaWewe ni sehemu ya huo uzembe pia. Baba wa mtoto yupo wapi? Hospitali ni moja tu hapo ulipo?
RIP chalii mdogo.
Mtoto alikuwa na umri wa miaka 2.5 kaka alikuwa wa kike nilimpenda sana naumia ,nateseka sana mimiPole mkuu I feel your pain!
mtoto alikuwa na umri gani
Ndio aliitwa jina hilo AngelPole sana, masa 7 bila huduma kwa kweli ni uzembe wa hospitali. Ungehama tu hospitali. Pole sana na Rest In Peace our angel
Aliyasema wapi hayo yote punguani mwenzangu?Ni bora tu ungekaa kimya maana wewe ni punguani yani kichwa chako hakipo sawa
Mama ametoka usiku ameenda hospital ya kwanza wakamwambie hali ni mbaya aende hospital nyinge akaenda amefika saa 8 usiku watoa huduma wanasuri network alafu wewe unasema ni mzembe yani unakera sana
Ulishawahi kuwa na ishu ambayo inasubiri network irudi? Network huwa haijulikani itarudi saa ngapi na huwa unahisi kama ukitoka tu na network itarudi
Shida ni kwa hao wahudumu wa hospital yani yameshindwa kumpa huduma wakati wabasubiri hiyo network irudi?
Dada taja jina la hiyo hospital ili kuokoa maisha ya watu wengene maana kwa hi network yetu ya Tanzania wataua watu wengi sana
Pole sana mkuu mtoto anaumiza sana!Mtoto alikuwa na umri wa miaka 2.5 kaka alikuwa wa kike nilimpenda sana naumia ,nateseka sana mimi
Mkuu haya maumivu hayawezi kuisha uzembe yani nahisi mwanangu analia kwa sababu ameondoka kiwepesi sana sana why jamani haya mahospital hayana huruma jamani?Ofcourse nilikosa kabisa ujasiri wa kutoa taarifa. Alikuwa ni wife material! Uzembe wa kibinadamu ukatokea, akaondoka kirahisi rahisi tu!
Maumivu yake mpaka leo hayajawahi kuisha. Na ndiyo maana nimeguswa sana na kifo cha mtoto wa mjumbe mwenzetu. All in all, kila nafsi itaonja mauti.
Ndio ni ya serikali mkuuHiyo itakuwa ni hospitali ya serikali, mara nyingi wanafanya kazi kwa mazoea. Net work ndio hutumika kuunganisha shughuli kwenye hospitali nyingi kubwa, lakini ukikwama hospitali au Dr mwelewa hurudi kwenye analogy ili kuokoa kwanza uhai.
Mwanangu aliumwa usiku ghafla tukalazimika kwenda hospitali ya karibu wakasema tumpeleke hospital ya ++++, kufika pale saa 8 usiku wanasema network hakuna hadi irudi wamekuja kumhudumia asubuhi saa 4Aliyasema wapi hayo yote punguani mwenzangu?
Ulishindwaje kutoa pesa mpk kusubiri bima ikae sawa ???? Uzembe ni wako sio madaktari.Mwanangu aliumwa usiku ghafla tukalazimika kwenda hospitali ya karibu wakasema tumpeleke hospital ya ++++, kufika pale saa 8 usiku wanasema network hakuna hadi irudi wamekuja kumhudumia asubuhi saa 4 mtoto kashalegea anatapika damu nyeusi. Tumemlaza kitandani wakaniagiza mavitu mengi kumbe mtoto amekata roho kwa uzembe wa madaktari.
Naumia sana, mwanangu kachomwa chomwa kateseka kafariki kwenye maumivu makali sana kwa uzembe. Nisamehe mwanangu na ulale salama kama ningekuwa na pesa usingefariki maana masikini nimeganda na wewe masaa 7 hospitali bila msaada.
Kwanini wasingemhudumia mtoto jamani naumia sana mimi jamani
Sijajua mkuu ila nahisi kimoja kati ya hicho nina mengi ya kueleza kuhusu kifo cha mwanangu natamani nilie nimsimulie mtu uchungu uisheHuyo mwanao alilishwa sumu au amelogwa ukikuta mtu anatapika vitu vyeusi ogopa sana na kufariki kuna namna hapo
Sidhani kama Extrovert ameongea kwa kebehi au dhihaka, bali ameongea kwa uchungu wenye hasira.Mpaka mtu kuandika hapa, ni faraja anayohitaji. Dhihaka ama kebehi ni kumuongezea uchungu tu.
Enzi za Dr Magufuli mwanao angepona maana kila mfanyakazi wa serikali aliwajibija ipasavyo.Mwanangu aliumwa usiku ghafla tukalazimika kwenda hospitali ya karibu wakasema tumpeleke hospital ya ++++, kufika pale saa 8 usiku wanasema network hakuna hadi irudi wamekuja kumhudumia asubuhi saa 4 mtoto kashalegea anatapika damu nyeusi. Tumemlaza kitandani wakaniagiza mavitu mengi kumbe mtoto amekata roho kwa uzembe wa madaktari.
Naumia sana, mwanangu kachomwa chomwa kateseka kafariki kwenye maumivu makali sana kwa uzembe. Nisamehe mwanangu na ulale salama kama ningekuwa na pesa usingefariki maana masikini nimeganda na wewe masaa 7 hospitali bila msaada.
Kwanini wasingemhudumia mtoto jamani naumia sana mimi jamani
Tukio lilitoke dar es salaam....wilaya ya ilala .0699574224Pole mleta mada hebu tuambie tukio limetokea wilaya gani?
Kama unafanya siri nakushauri futa uzi wako maana hauna lengo la kuleta funzo na ufanisi sehemu za kazi zaidi ya kutaka sisi tuandike pole pia nakushauri kama inawezekana weka namba ya simu anayeweza akutumie chochote maana sisi wote ni ndugu na msiba hauna mwenyewe.
Kwa mara nyingine pole sana na Mungu awatie nguvu na RIP mtoto.
Asante, siku ukiwa na mtoto utaelewa how your brain has to work harder. Mtu yuko Dar es salaam hii hii halafu mtoto anakufa sababu madaktari wamegoma kuwajibika. It doesn't make any sense to me angefia njiani sawa ila sio hospitali ambapo amekaa more than 6 hours bila huduma.Mwanangu aliumwa usiku ghafla tukalazimika kwenda hospitali ya karibu wakasema tumpeleke hospital ya ++++, kufika pale saa 8 usiku wanasema network hakuna hadi irudi wamekuja kumhudumia asubuhi saa 4
Utajijua tu kuwa wewe ni punguani