Kifo cha Nusra wa UDOM Bado ni pasua kichwa, UDOM waikana taarifa iliyosambaa

Kama taifa na mwananchi mmoja mmoja kuna mambo mengi sana ya kufanya zaidi ya hizi drama ambazo hazina maana yoyote..iwe kweli alikua na mahusiano na huyo waziri bado inabaki kuwa inshu binafsi.
Yaani Naibu Waziri atumie gari ya Wizara/serikali Kwa mambo binafsi/uzinzi then useme ni mambo binafsi? Wewe ni mzima kweli??
 
Wakati upo chuo ulikuwa unasumbua mabinti za watu. Sasa hivi waliopo chuo ni watoto wetu.
Malipo ni hapa hapa duniani shemeji yangu.
Hahahahahahaha ukiwa chuo unakua huna hela. Vile vitoto vya shule vinakulwa na wakulungwa wenye mzigo.

Nilikua napiga discussion moja matata ya Psychology halafu yule demu saa tatu jamaa anakuja na Mark 11 GX 100 anaondoka nae mbwa yule
 
...Wazazi wanakusomesheni,
Kwa gharama nyingi Sana.
Matokeo ni kufukuzwa Shule.
Mapenzi na Masomo Vyote vyapotea....
 
Kama chuo wametoa taarifa ya uongo wewe anu nyie mkatoe ya ukweli kama ni kaka ake kawambie alikiwa kwa kaka ake na sio mpenzi wake


Afu nyie hapo udom mpo zaid ya 8000 chuo kianze kuwafatilia kweli? Nyie sii watoto mkiona mnapenda mashine mtakobolewa tu know way

Angetulia chuoni yasingemkuta hayo
 
Pole sana kwa wafiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…