paulo bwana yesu akirud atamshangaa sana,,
ni yeye aliesababisha yote haya sisi tuanze kumuita bwana yesu mungu na kutufarakanisha wenyewe kwa wenyewe,
hali ya kua yule alikua ni mtumishi wa bwana mungu,sasa katubalishia maandiko na kutufanya tumuite yy mungu,mbona nimeichambua bibilia sijaona alipotamka yy mwenyew yesu tumuite mungu?
Kama yesu ni mungu kwanin katufarakanisha kiasi mm mwangalikana nisali kwangu,rc asali kwake,mlokole asali kwake?
Kama mungu ni yy pekee kwanin tutumie njia mbali mbali kumuomba yy hata ktk ibada?
Madhehebu kuwepo yangekuwepo lkn sasa kwanin wengne tutumie njia hii wengne watumie ile kumuomba mungu huyo huyo mmoja,
bwana mungu ni mmoja tuh,,paulo ole wako..!