Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

Kinondoni+Cemetery+1.jpg
 
maelezo ya uhakika ni yale ya mwanzo yaliyobaki ni yakufundishwa ili ajiokoe hata ukimuuliza kesho atakupa story nyingine kila kukicha mambo yatabadilika but 'Time will Tell'
 
Zamani watu tulikuwa tunaogopa makaburi sana ila siku hizi mpaka mtu analala juu ya kaburi???
 
hili neno "news alert' linakuwa abused sasa. this happens hata tukienda kuzika ndugu zetu makapuku, misalaba kadhaa kuangushwa ama mtu kukanyaga mahala paka-crack.
 
maelezo ya uhakika ni yale ya mwanzo yaliyobaki ni yakufundishwa ili ajiokoe hata ukimuuliza kesho atakupa story nyingine kila kukicha mambo yatabadilika but 'Time will Tell'
 
na sisi vijana tusahau sana wazazi. Utakuta mtu anajirusha w/end nzima, anakunywa bia na anasa zingine ila wazazi wake kijijini hawana hta mafuta ya taa,chumvi,sukari na hata chakula. Unadhani kwa staili hii sisi vijana tutapata baraka??? Ebu tujiangalie vijana maisha tunaishi!!!
 
paulo bwana yesu akirud atamshangaa sana,,
ni yeye aliesababisha yote haya sisi tuanze kumuita bwana yesu mungu na kutufarakanisha wenyewe kwa wenyewe,
hali ya kua yule alikua ni mtumishi wa bwana mungu,sasa katubalishia maandiko na kutufanya tumuite yy mungu,mbona nimeichambua bibilia sijaona alipotamka yy mwenyew yesu tumuite mungu?
Kama yesu ni mungu kwanin katufarakanisha kiasi mm mwangalikana nisali kwangu,rc asali kwake,mlokole asali kwake?
Kama mungu ni yy pekee kwanin tutumie njia mbali mbali kumuomba yy hata ktk ibada?
Madhehebu kuwepo yangekuwepo lkn sasa kwanin wengne tutumie njia hii wengne watumie ile kumuomba mungu huyo huyo mmoja,
bwana mungu ni mmoja tuh,,paulo ole wako..!
 
WanaJF
Kuna Tetesi kuwa Kifo cha Kanumba kimehusishwa na Freemasons......
Msiba wa Kanumba umezua gumzo na utaendelea kuwa gumzo hasa kuanzia utatauliogubikwa kuhusu chanzo cha kifo chake ambacho bado ni siri na itaendelea kuwa siri kwa polisi, madaktari na hata familiaya marehemu.


Msiba huu pia umezua maswali mengi bila majibu kuhusu ushiriki wa Serikali. Viongozi wengi wa Serikali ngazi za juu kuacha shughuli nyingine nyeti za Taifa kwenda msibani wakati Kanumba hakuwa Kiongozi wa Serikali ingawa alikuwa ni Msanii Nguli. Ingefaa tu Mkuu wa Mkoa au Waziri (na Naibu wake) wa Habari, Vijana na Michezokuiwakilisha Serikali. Kama haitoshi Serikali ilitoa mchango wa Tshs.15 M na pia iligharimia maziko yake. Je, hayo yamewahi au yatafanyanyika kwa wasanii wengine kama marehemu .


Sasa nirudi kwenye mada husika kuhusu chanzo chakifo cha Kanumba. Inasemakana marehemu Kanumba alikuwa muumini wajamii ya FREEMASONS ambayo tafsiri rahisi ni Jamii ya Siri (Secret Society), hii ni kutokana na malengo na shughuli zao kuwa za Kishetani ambao wametapakaa dunia nzima. Kwa hapa Tanzania kuna Freemasons pia ambao wengi wao ni watu matajiri na maarufu ; mfano wasanii (kama Kanumba), Vigogo wa Serikali (angalia ushiriki wao kwenye msiba huo) na wafanyabiashara wakubwa. Freemasons ni watu hatari sana ambao huwatumia vipawa vya watu hao maarufu kufanikisha shughuli zao za Kishetani. Iwapo mtu ameamua kujiunga na Freemasons anatakiwa wakati wote kufuata masharti ya Freemasons ikiwa ni pamoja na kutunza SIRI zote za Freemasons. Ikitokea muumini amekiuka masharti ya Freemasons kama kuvujisha siri zao, adhabu zao ni za Kimafia ikiwemo KIFO.
Vyanzo vya habari hizi vinaeleza kuwa marehemu Kanumba alitarajia kuandaa moja ya Filamu kali mno ambayo ilikuwa inagusa siri hizo za Freemasons, filamu hiyo ingemletea Kanumba umaarufu na utajiri maradufu na alikuwa nao. Lakini Freemasons wakamshitukia ndio maana wakaamua kumzima kabla hajatekeleza mpango huo kwakutumia sumu na wala sio kulegea kwa ubongo kwa kuanguka kama inavyosemwa. Dalili za sumu ni pamoja na kutoka povu mdomoni, mapafu kubadilika kama maini kama ilivyokuwa kwa Kanumba. Kama kweli angeanguka basi damu ingetoka puani au mdomoni lakini badala yake yametoka mapovu. Kuhusu nani alimpa sumu hiyo, nadhani mpenziwe Lulu anaweza kuwa na majibu.



Nawasilisha.......
 
wazazi mpango mzma
saiz tunajifanya tunajua sana,had tunapitiliza
utam wa pipi za vijiti na visima vya sukari guru vinatupa viburi sana..!
Hata mzazi awe vip mtoto lazma utafute njia poa ya kumaliza tofauti haraka na mapema iwezekanavyo kabla mambo hayachukua sura tofauti..
 
Mwisho wa siku kila nafsi itaonja mauti..Jina la bwana libarikiwe.
RIP Big Daddy ,uncle JJ S.Kanumba ..
 
Back
Top Bottom