Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

Ha ha ha. Hakyanani Mwalimu Nyerere angelikuwa hai angewaiteni wachangiaji wote wa hii mada huko Ikulu na kuwachapeni viboko. Mmezidi udaku na umbea!
 
wacha kaende labda katajifunza

maana asiyefunzwa na wazazi.........

hivi hako katoto kana baba kweli?

nadhani hata mamake ndo walewale
Usiseme maneno makali hivyo hii ni dunia leo kwake bahati mbaya imemkuta kesho inaweza kuwa kwako, tumuombee tu haki itendeke na polisi wafanye kazi yao kwa umakini na uangalifu wasimuhukumu kwa ajili ya kusikiliza maneno ya watu wa nje.
 
jaman yasije yakahama kwa lulu yakaja kwa huyu jamaa maana wabongo kwakutengeneza story hawajambo
 
lulu_2.jpg


MONDAY, APRIL 2, 2012


KUPITIA MKASI YA EATV: LULU AWEKA MAMBO HADHARANI,!!


Aaagh! Mtoto ana Kichuguu cha maana! loh! Ndiyo maana msukuma alichanganyikiwa!

Du! not bad!
 
Riport ya madaktari waliomfanyia post mortam marehemu Kanumba wanasema kifo chake kimesababishwa na Brain concusion lakini nijuavyo mimi Brain concusion inapoteza fahamu kwa muda mfupi siyo sudden death labda kama wangesema ilikuwa Brain contusion ambapo ubongo unakuwa umeumia sana na mtu anakuwa unconcious kwa muda mrefu,halafu brain inakuwa protected na skull( fuvu) ambalo ni gumu sana ambapo kuvunjika inahitajika nguvu kubwa ambayo mimi naamini Lulu hana nguvu nyingi kihivyo za kuweza kumsukuma Kanumba na kujibamiza ukutani,halafu kwa nini marehemu alitoa mapovu badala ya damu mdomoni? may be there was a third person who did a clean job,professional,lets think out the box.
 
Mhhhh..is it?Labda mimi sizijui sheria za nchi yangu,hivi mtu ili kupewa driving licence inabidi awe na umri gani?Kama kako 17 hilo gari wanalosema kalikuwa kanaendesha ilikuwa ni kwa leseni ya nchi gani?au hapa inamaanisha waliompa leseni na yeye mwenyewe wanakesi dhidi ya hili?Naipenda Tz,you can do what you want when you want to!​
Yaani huyu mtoto hadi anatia huruma....maana yanaweza kuibuka mambo mengi kweli kwenye sakata hili. Je umri ambo ali declare katika kupata leseni hiyo unafanana na umri wake 'halisi'?
 
Kamanda Kenyela ametimiza ahadi, bibie Lulu uso kwa Pilato Kisutu. Ameletwa kwa uficho mkubwa. Haki itadhihiri.

mhh mi ningekuwa lulu kwa kweli ningemwomba mweshimiwa hakimu anifunge maisha,kwa hii jamii yetu wachache ndio watakuelewa,hata nikitoka uso nauweka wap? Nani atanikubali? Nani atanioa? Duh kazi anayo.
 
Lakini vile vile ni kuwa LULU kasema alikuwa anaongea na mtu mwingine maarufu ambaye ni mpenzi wake pia, so the whole issue is a see-saw. Kwa kuwa LULU amewahi kutamka kupitia media kuwa amefikisha umri wa miaka 18 na record zipo nyingi tu, basi ni dhahiri kuwa hii kitu itakula mpaka kwa mama yake kuwa alikuwa ana mu-abuse mtoto kwa kumwacha adanganye umri ili kupata wanaume. Utetezi huu mi naona bado ni mapema sana kusema kama utamsaidia LULU. Ila ni mwanzo wa kuanza kupoteza uaminifu kwa anachokisema LULU. Kwangu mimi sioni kama kuna masilahi yoyote kwa LULU kutiwa hatiani maana Kanumba hatarudi, he's gone bali ningeona kesi hii itumika kama reconciliation kwa jamii, LULU aseme kilichotokea kwa ukweli bila kuficha kitu na hapo humanity itachukua nafasi yake. Maana ikumbukwe kuwa ushahidi utakapoanza kusikilizwa hata maongezi ya simu yatahitajika kama ushahidi mahakamani na aliyekuwa anaongea na LULU ni lazima ajulikane.
haka katoto!
 
kama unavyosema inaweza kuwa sahihi kufikiri nje ya mawazo tuliyonayo sasa...japo ndio hivyo mara freemansons mara pombe basi ilimradi kila mtu anastory yake
 
Katiba yetu wengi inatutia kiwewe tanzania mtt wa miaka 16 and above anaruhusiwa kuolewa lkn under 18 hana hatia upuuuzi mtupu guilt or innocent this country is sick.. Sk kashapumzika he was a grt hero but met his death in a shameful way lord forgive to say this..pipo lets do wat t takes to build this country tuachane na sifa za kijinga huyu lulu mngemkazania shule hata kwa kumlaza rumande haya yangekua hadithi za paukwa pakawa..lord knows better what happened in that room the nty sk left. Hii ni safari ya wote tunaopumua..
 
Huyu mtoto walisha mwaribu kwa kwel. Inaoneka vijana wanacheze pingiri
 
Navyojua mimi hata kama una umri chini ya miaka 18 lakin sio chini ya miaka 12 na endapo utaonyesha uelewa wa kosa husika yaani unauwezo wa kujieleza vyema na kuelewa madhara ya tukio au kosa husika then sheria huchukua maamuzi kama vile una miaka 18 na zaid,
changien kwa ustaarab jama
 
Wambane dogo seti na ray,(wa kwanza kufika eneo la tukio),af wachek cmu zao,sms za lulu,n rip K! Mayb watapata mwanga
 
hivi nyie mnayemtetea huyu mtoto mna akili zenu timamu au?kikahaba hiki halafu mnasema mtoto...au mmelogwa nyie?...ana udogo gani ana miboifriend mpaka miwaziri ya mambo ya naniiiii...hebu nipisheni hapa
 
Back
Top Bottom