Askari Kanzu
JF-Expert Member
- Jan 7, 2011
- 4,596
- 1,234
Ha ha ha. Hakyanani Mwalimu Nyerere angelikuwa hai angewaiteni wachangiaji wote wa hii mada huko Ikulu na kuwachapeni viboko. Mmezidi udaku na umbea!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usiseme maneno makali hivyo hii ni dunia leo kwake bahati mbaya imemkuta kesho inaweza kuwa kwako, tumuombee tu haki itendeke na polisi wafanye kazi yao kwa umakini na uangalifu wasimuhukumu kwa ajili ya kusikiliza maneno ya watu wa nje.wacha kaende labda katajifunza
maana asiyefunzwa na wazazi.........
hivi hako katoto kana baba kweli?
nadhani hata mamake ndo walewale
Hahahaha Nyani!!!!!
![]()
MONDAY, APRIL 2, 2012
KUPITIA MKASI YA EATV: LULU AWEKA MAMBO HADHARANI,!!
Aaagh! Mtoto ana Kichuguu cha maana! loh! Ndiyo maana msukuma alichanganyikiwa!
Du! not bad!
Yaani huyu mtoto hadi anatia huruma....maana yanaweza kuibuka mambo mengi kweli kwenye sakata hili. Je umri ambo ali declare katika kupata leseni hiyo unafanana na umri wake 'halisi'?Mhhhh..is it?Labda mimi sizijui sheria za nchi yangu,hivi mtu ili kupewa driving licence inabidi awe na umri gani?Kama kako 17 hilo gari wanalosema kalikuwa kanaendesha ilikuwa ni kwa leseni ya nchi gani?au hapa inamaanisha waliompa leseni na yeye mwenyewe wanakesi dhidi ya hili?Naipenda Tz,you can do what you want when you want to!
Kamanda Kenyela ametimiza ahadi, bibie Lulu uso kwa Pilato Kisutu. Ameletwa kwa uficho mkubwa. Haki itadhihiri.
haka katoto!Lakini vile vile ni kuwa LULU kasema alikuwa anaongea na mtu mwingine maarufu ambaye ni mpenzi wake pia, so the whole issue is a see-saw. Kwa kuwa LULU amewahi kutamka kupitia media kuwa amefikisha umri wa miaka 18 na record zipo nyingi tu, basi ni dhahiri kuwa hii kitu itakula mpaka kwa mama yake kuwa alikuwa ana mu-abuse mtoto kwa kumwacha adanganye umri ili kupata wanaume. Utetezi huu mi naona bado ni mapema sana kusema kama utamsaidia LULU. Ila ni mwanzo wa kuanza kupoteza uaminifu kwa anachokisema LULU. Kwangu mimi sioni kama kuna masilahi yoyote kwa LULU kutiwa hatiani maana Kanumba hatarudi, he's gone bali ningeona kesi hii itumika kama reconciliation kwa jamii, LULU aseme kilichotokea kwa ukweli bila kuficha kitu na hapo humanity itachukua nafasi yake. Maana ikumbukwe kuwa ushahidi utakapoanza kusikilizwa hata maongezi ya simu yatahitajika kama ushahidi mahakamani na aliyekuwa anaongea na LULU ni lazima ajulikane.
sijui nani alimuekea signature kwenye makalio