kahtaan
JF-Expert Member
- Jul 11, 2009
- 18,760
- 11,343
Umeanza mipasho!Heheheee.....sasa mbona unanisonya Reina?
😛
Teh teh teh .
Mtoto wa kiume hatari wewe!!
Umesonywa au sio? Halafu mcheko wako unaniuaa! Ka khadija kopa jukwaani.
Teh teh teh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeanza mipasho!Heheheee.....sasa mbona unanisonya Reina?
😛
Nimekasirika.
Naamini lakini sijui. Hiyo hali siipendi.
Sitaki kuamini, nataka kujua.Kwa imani yangu nasoma biblia ndiyo guide yangu ya kuimarisha imani yangu, nakuombea kiranga upate pia muda wa kumwamini Mungu kabla hujaondoka duniani,, narudia kusema 'swali kuhusu Mungu halina jibu' unapaswa kumwamini basi
Nani kakwambia mimi ni toto la 1982?Siku zote nilikuwa nadhani naongea na Mtu mzima kumbe toto la mwaka 1982?
Ndio maaana nilikuwa nashindwa kuelewa Kosa lako ni nini.
Kumbe toto dogo bado.
Teh teh teh.Nani kakwambia mimi ni toto la 1982?
There you go with your funny assumptions again.
Mtu akiandika anataka kurudi 1982, hujui kwa nini, usga assume kwamba ni "toto la 1982".
In 1982 I was reading Mzalendo already.
The joke is in you jack.
Sijataka kumpangia mungu wako, nataka kujua kama unamuelewa na mimi kumuelewa pia. Kwa sababu kwa sasa hivi ha make sense.
Habari ya kwamba mungu katuumba na free will si kweli.
Mimi nataka kurudi 1982, siwezi kurudi. Free will iko wapi hapo?
Ni kweli na ndo maana nimeamua kuamini, lakini katika kuamini huko....akili kumkichwa.Oh..pole basi.
Hakuna ubaya wowote katika kuamini madhali binadamu tuna mapungufu.
Sidhani kama kuna mtu ambaye anaishi bila ya kuwa na imani.
Imani ni sehemu ya maisha. Mtu huwezi kujua kila kitu na kwa yale ambaye huwezi kuyajua hapo ndo imani inapochukua nafasi yake.
Hebu fikiria hili....nadhani utakuwa ushawahi kunywa soda...Pepsi😉.
Hiyo Pepsi una uhakika gani huko ilikotoka [kiwandani] ilitengenezwa kwa kukidhi viwango vyako vya usafi?
Una uhakika gani kama hakuna mtu aliyedondoshea tone au matone ya mate yake?
Kwa kifupi ni kwamba, kama hukuwepo kuona ilivyokuwa inasindikwa basi huna uhakika wa kutosha kwamba ilisindikwa katika mazingira yanayokidhi viwango vyako.
Lakini, hilo halikufanyi wewe uache kunywa Pepsi. Na kikubwa kinachokufanya unywe hiyo Pepsi ni imani ya kwamba ni safi, la sivyo usingekunywa.
Sidhani kama ukishuhudia mtu anadondosha mate yake ndani ya hiyo Pepsi na kukupa unywe, kama utakunywa.
Huo ni mfano mmoja tu unaothibitisha kwamba imani ni sehemu kubwa sana ya maisha yetu.
Haiepukiki.
Kwa hiyo usikasirike kushindwa kujua kama kweli mungu yupo au la.
Kuna mengi tu ambayo huyajui na huwa unategemea imani kuyakubali.
Free will is an illussion.Mmmh
Mimi nafikiri bila causation hata hiyo freewill isingekuwepo au?
Free will is an illussion.
Nimeuliza nataka kurudi 1982, nina free will gani ya kurudi 1982?
Msingi wa swali lako ni nini?Nawe hujajibu swali langu
Freewill bila causation inawezekana?
Yeah,causation break at quantum level but fortunately we're not at such levelMsingi wa swali lako ni nini?
Free will ni uchaguzi, inahusikaje na causation?
Causation is another anthropic illusion.
At the quantum level, causation breaks down.
Everything is probabilistic.
The illussion of causation is borne out of the poverty of our anthropic minds.
If causation can be questioned and found wanting at any level, it can't be that fundamental.Yeah,causation break at quantum level but fortunately we're not at such level
All quantum strangeness vanish at large scale of nature
so my question is still valid
There is logical connection between freewill and causation,you can't have one without another
If causation can be questioned and found wanting at any level, it can't be that fundamental.
If it is not that fundamental, it is trivial and anthropic.
Are you limiting your reasoning at the anthropic scale?
That would contradict belief in god.
You are damned if you do, you are damned if you don't.
Weak arguments are bound to be exposed by logical inconsistencies and/ or contradictions.
First,causation is not trivial,it's necessary
Though quantum world is so probabilistic ,there is no any recorded phenomenon that lack causal structure
If causation is so trivial,why then our universe is coherent?
Ok let's return to the key problem,
The problem of evil
God allowed existence of evil for greater good
If evil wouldn't exist one could not differentiate good from wrong
Evil exist to teach us which is wrong and which is right
That's why God allowed it
Both uncertainty principle and matter waves have nothing to do with causationKiranga said:I
What do you understand about the quantum?What do you understand about Heisenberg? What do you understand about the wave particle duality?
Universe governed by deterministic physical lawsCan you tell me why we can only move forward in time but not backwards if our universe is really coherent?
Your question is flawedWas god incapable of creating a world that had no evil but only good?
Both uncertainty principle and matter waves have nothing to do with causation
Heinsenberg's principle implies quantum chaos and not violation of causation
For causation to be violated one must move faster than light which is impractical
Universe governed by deterministic physical laws
The same laws prevent us from movin' back in time
Coherence doesn't allow violation of natural laws
Your question is flawed
It seems your entire argument rest on premise of duality
Evil exist only in our perception,but in reality it does not
It's only absence of good
It's logically wrong to view evil as substantive entity
What's your definition of evil?
Kisichopo hakithibitishiki kwa sababu hakipo ili kuthibitishwa.
Uthibitisho ni kwamba, hakuna kisichopo kinachothibitishika, kama kipo kitaje.
Your logical questions are greatest temptations to unbelief.I must admitKiranga said:Why does god exist even in our perception? Did god fail to create in which evil did not exist even in our perception?
Hujaonyesha hata kimoja kinavyothibitisha kwamba mungu yupo.Vifuatavyo ni vithibitisho kuwa Mungu yupo:
Mkuu hivyo vitu vichache vinathibitisha kuwa Mungu yupo, lakini uwepo wa Mungu huja kwa Imani pasipo Imani Mungu hayupo. Na kama Mungu angetokea tumwene then Imani inakuwa haina maana. Waebrania 11:6. Mtu anayetaka kumwamini Mungu yupo ni lazima awe na Imani kuwa yeye yupo!! pasipo Imani kweli Mungu atakuwa ni hadithi tu.
- Nchi na mbingu(dunia) tunaoishi ikodesigned kujitoshereza yenyewe, mfano misimu 4 katika mwaka, jua mchana, mwezi na nyota usiku, maji ya bahari hayavuki mipaka yake.
- Maji hayana rangi wala test lakini binadamu na mimea tunategemea maji kuishi
- Hewa- binadamu tunavuta oxygen tunatoa carbon dioxide mimea inavuta na mzunguko wa mvua.
- Binadamu na elements zake na uhusiano katika nchi(udongo).
- kulala na kuamka.
- DNA na RNA genetic codes kutoka kizazi mpaka kizazi kingine.
- Chanzo cha mtoto tumboni mwa mwanamke na kuzaliwa kwake( kama hujawahi kuona mtoto anapozaliwa nakushauri ufanye hivyo)
- Tofauti na design ya mwanaume na mwanamke, mwanaume hawazi kuwa mjamzito/mimba
- Yesu kuzaliwa kwake na kufufuka kwake na kufa kwake- dunia ilitetemeka na pazia ya hekalu lilipasuka.
- Hekaheka ya wewe mweyewe kutaka kuthibitisha kama Mungu yupo in uthibitisho tosha kuwa yupo na unataka kukonnect naye.
Zaburi 14:1 Mungu kweli hayupo kwa kufikilika kimawazo na kiakili- ni kwa Imani tu. Waebrania 11:6.
Your logical questions are greatest temptations to unbelief.I must admit
But if you'll take up a notch,you will see that even the flawless world or a world without evil and existence of free agents are incompatible
Let me explain it deductively;
1.Either freewill and evil are compatible or God doesn't exist
2.To commit evil is part of human's choice
3.Human has freewill,so he can choose whatever he want to choose
4.Since evil is part of choice,then he is free to pick it
5.So,evil and free will are compatible therefore God exist
What i mean is that,God can't do logical impossibilities
If God can cause mankind to make only specific choice[good] in any way,then that choice,in reality is no longer free
If that choice is no longer free,then man is not free agent
Thus your idealized flawless world is self contradictory!