Mwili ni vazi tu mkuu la roho , i mean you! Sasa hizo nguo ulizovaa ukizivua ukazifukia kuna kitu utaumia ?Nikikumbuka mama mmoja alinambia ooh ukifa kitendo Cha kuzikwa tuu, adhabu inaanza hapo hapo mara nyoka aje ajiviringishe hapo nachoka
Nikigeuka huku napo naambiwa kuna moto usio zima
Lakini Mimi nafikiria sana ile mtu anakufa na pale kuzikwa nachokaga mno aaani....
Kwamba Kuna siku sitofumbua macho, kuongea wala kutabasamu
Kwamba watu wataambiwa tutoe heshima ya mwisho huku nikililiwa na wapendwa wangu ambao siwaoni wala kuwasikia
Nawaza sana, naona ikiwa kuna kuzaliwa mara ya pili Kuna haja Tena ya kuzaliwa kweli??
Kwenye dunia iliyojaa maumivu, mateso, njaa, wadudu, magonjwa aibu, fedheha na umasikini ??
Wakati mwingine nawaza kwann nisiseme tuu nikifa nichomwe moto maake kuzikwa aseeh naona nitashindwa kupumua sjui, kilo za mchanga zinanilalia na kunifunika kabisa kabisa,
Nawaza
Nawaza
Nawaza
Nipeni maua yangu nikiwa hai shada la urafiki mwema, wala Chaga community halitafaa nikiwa sina nguvu hata na uwezo wa kuona wala kunusa
cc secretarybird Poor Brain
Asante BroKifo sio kitu special kiasi hicho. Ni mwisho wa maisha ya kiumbe chochote
Ukifa una disappear duniani, the way ilivyokuwa before hujazaliwa, mabaki ya mwili wako yatabaki lakini bila uhai
Watu wanahuzunika ukifa kwa sababu wangependa waendelee kuishi na wewe, lakini unapokufa wanapoteza hiyo connection, so it's sad
You spoke well brother truly, death is like a mystery Anyway let’s enjoy life🥂Hakuna anaefahamu ingawa tumetokana na mazingira and what cosmic has provided to this planet. Our bodies will one day help other organisms to exist, and the other thing is that our mind have been programmed, store information and perform logic so tunachokiita roho ndio hii programmed mind. Ukifa ni sawa na kuzima kila kitu no one comes back but we become food and new product hapa duniani pengine we produce some gases like hydrogen zinazo escape huko kwenye atmosphere.
Akili ni memory na processor tu inayoongoza mwili mtu akifa ni kama ku erase everything hata tukimuamsha mtu aliyekufa ni bure likely hatakumbuka tena. Ubongo wetu wa mbele ndio unatufanya tuwaze yote haya but in ecology all animals are almost the same.
Hamna kosa... Kosa ni kuunguzwaOhoo kwahiyo kama mtu akiamua kuiunguza mwenyewe hiyo software kuna kosa hapo?
Hujapata wa kukufichia simu ili uache ulevi au nije huko arushaHamna kosa... Kosa ni kuunguzwa
Naona kifo kimeshindwa kuzuilika aiseeMtazamo wa kuona kifo ni lazima sidhani kama kuna ushahidi wa kisayansi wenye kueleza kuwa kifo ni lazima kwamba hakuna namna ya kuweza kuzuia kifo.
Nani wewe umebadilisha I'd?😄Hujapata wa kukufichia simu ili uache ulevi au nije huko arusha
Hata najua basi 😂Nani wewe umebadilisha I'd?😄
WoooihHata najua basi 😂
Umekumbuka sasa au una hangover 😁Woooih
lazima utakufa tu hata iwejeKila binadamu aliyekufa, lazima kuna sababu/kitu kilichosababisha afe.
Kwa maana hii hakuna mtu aliyetokea akafa tu, yaan paap! Awe amekufa hiyo haipo.
Sasa kuanzia sasa nikiamua nijitunze na nijilinde, hasa afya yangu. Yaani niwe napima afya yangu kila siku, na kujilinda/kujiepusha na mambo/vitu vinavyosababisha kukatisha uhai wa binadamu(kifo) kama magonjwa,ajali na n.k "NITAKUFA KWELI?".
Hamna maumivu Ila tyr akili tulishaijengea hofu na mawazo juu ya kifo hivyo lzm mtu aone km atazikwa akiwa mzima kumbe hamna kitu,Mwili ni vazi tu mkuu la roho , i mean you! Sasa hizo nguo ulizovaa ukizivua ukazifukia kuna kitu utaumia ?
kwa maana hiyo, mwili utachoka kuishi, ya nitazeeka sanaaa kiasi cha kusindwa kufanya chochote zaidi ya kufa tu?lazima utakufa tu hata iweje
Ila uwezekano wa kuishi mda mlefu ni mkubwa
Naona ni hivyo 🤔kwa maana hiyo, mwili utachoka kuishi, ya nitazeeka sanaaa kiasi cha kusindwa kufanya chochote zaidi ya kufa tu?
Na mwanadam alivyokuwa jeuri angeishi mileleMtazamo wa kuona kifo ni lazima sidhani kama kuna ushahidi wa kisayansi wenye kueleza kuwa kifo ni lazima kwamba hakuna namna ya kuweza kuzuia kifo.
Naona ni hivyo
Naona ni hivyo