Acha porojo, taja alichofanya kwa kuweka ushahidi, Mfano ameanzisha kitu hiki kiko eneo fulani kimeanza mwaka na mwezi huu ili tukague, acha porojo leta factyaani upinzani ukiwa na viongozi vilaza wa dizaini ya kigaila kushika dola ni ngumu sana yaani haoni anachofanya mama wakati mbowe anasifia juhudi za mama yeye ni nani mpaka ashangae? huyu hafai kuwa kiongozi wanapoteza muda tu
"Kwa mwaka huu tu upande wa Elimu 2024.Zitaje kwa majina na eneo zilipo ili tukague kama hazikuwepo kipindi kilichopita, vinginevyo unadanganya
Leta ushahidi, usiseme tu hivyo kwa maneno, hata mimi naweza kusema hivyo leta hapa ushahidi, hiyo bado ni porojo. Kigaila kataja mabango kwa kuwa yanaonekana wewe hizo fedha za shule zimegaiwa wapi? Lini?Hivi gharama ya haya mabangi ysliyotapakaa nchi nzima barababrani ya. "Mama anaupiga mwingi" nani hulipia gharama zake?
Nguvu inayotumika kumbrand mama ni kubwa mno. Wana hofu juu ya nini wakati kizuri chajiuza chenyewe?
Huyu nyumba aisee ni shida ,hivi Dar yote iko kwa ukarabati wa barabara ndio yeye alianzisha ? Hivi alitaka aache kukamilisha miradi aliyoanzisha mtangulizi wake ?Nyumbu hamjui jinsi nchi inavyoendeshwa .Kigaila adai Magufuli amekuwa mwaka 2021 tukiwa na miaka 60 ya uhuru ameacha tunadaiwa deni la Taifa Triolioni 59, sawa na wastani kwa Mwaka Trilioni Moja moja.
Samia yuko Madarakani mwaka wa tatu tangu 2021 amepandisha deni la taifa kutoka trilioni 59 mpaka Trilioni 98 kwa wastani wa kukopa kila mwaka Trilioni 13, Anauliza mradi wake alioanzisha kwa wakati wake ni Upi? Anadai hakuna mtu anayejua mradi wa Samia alionzisha kwa mikopo hiyo katika wakati wake wa Utawala
Amesema, pamoja na kuongeza deni hilo kutokana na ukopaji wa Samia hakuna mradi wowote ambao Samia ameanzisha katika kipindi chake, Isipokuwa mradi wa Mabango ya Mama anaupiga mwingi
Baada ya kumaliza kuita watu nyumbu. Tunasubiri ulete fact Sasa, kama huna fact umesema uongo kwakuwa hata wewe mwenyewe huijui ila unaleta porojo.H
Huyu nyumba aisee ni shida ,hivi Dar yote iko kwa ukarabati wa barabara ndio yeye alianzisha ? Hivi alitaka aache kukamilisha miradi aliyoanzisha mtangulizi wake ?Nyumbu hamjui jinsi nchi inavyoendeshwa .
Huyu kigaila Lofa sana...Mnufaika wa Covid-19...Kigaila adai Magufuli amekuwa mwaka 2021 tukiwa na miaka 60 ya uhuru ameacha tunadaiwa deni la Taifa Triolioni 59, sawa na wastani kwa Mwaka Trilioni Moja moja.
Samia yuko Madarakani mwaka wa tatu tangu 2021 amepandisha deni la taifa kutoka trilioni 59 mpaka Trilioni 98 kwa wastani wa kukopa kila mwaka Trilioni 13, Anauliza mradi wake alioanzisha kwa wakati wake ni Upi? Anadai hakuna mtu anayejua mradi wa Samia alionzisha kwa mikopo hiyo katika wakati wake wa Utawala
Amesema, pamoja na kuongeza deni hilo kutokana na ukopaji wa Samia hakuna mradi wowote ambao Samia ameanzisha katika kipindi chake, Isipokuwa mradi wa Mabango ya Mama anaupiga mwingi
You've quoted me wrong.Leta ushahidi, usiseme tu hivyo kwa maneno, hata mimi naweza kusema hivyo leta hapa ushahidi, hiyo bado ni porojo. Kigaila kataja mabango kwa kuwa yanaonekana wewe hizo fedha za shule zimegaiwa wapi? Lini?
Mradi wa rushwa wa kugawa bajaji na bodaboda unaonekana, mradi wa machawa unaonekana, mbona mradi wa hizo shule hatuuoni?
Leta ushahidi, usiseme tu hivyo kwa maneno, hata mimi naweza kusema hivyo leta hapa ushahidi, hiyo bado ni porojo. Kigaila kataja mabango kwa kuwa yanaonekana wewe hizo fedha za shule zimegaiwa wapi? Lini?Tukipima Kwa national level ni mradi mkubwa brother..
Mfano: pesa iluyotumika kujenga Vituo vya afya na Hospital i nchi nzima, na Pesa iliyotumika kujenga Shule mpya pamoja na madarasa, mabweni na matundu ya vyoo nchi nzima.
Na hapo ni afya na elimu tu.... Pesa iliyotumika ni nyingi kana kwamba Mh Rais angekuwa mbinafsi izo pesa zilikua zinafanya mradi Mmoja Kwa eneo Moja mkubwa sana.
Pinga hoja Kwa kuweka facts za miradi ambayo samia ameanzisha...tuwekee hiyo miradi mipya ya samiaWapinzani wana vituko sana ndio maana CCM inawashinda kwa sababu watanzania wanaona vyama vya upinzanu ni vikundi vya sanaa za uchekeshaji. Huyu msanii anasema hakuna mradi ulioanzishwa na Rais Samia na hapo hapo wasanii wenzake wanakuja kusema miradi inayoanzishwa haiwasaidii wananchi. Niseme tu wapinzani hawana tumaini tena ni zaidi ya kufanya fitina na ulaghai
Kumjibu roporopo ni kujiabisha, huyo kigaila anatakiwa kujibiwa na watoto wadogo maana alichosema ni utotoPinga hoja Kwa kuweka facts za miradi ambayo samia ameanzisha...tuwekee hiyo miradi mipya ya samia
Kumjibu roporopo ni kujiabisha, huyo kigaila anatakiwa kujibiwa na watoto wadogo maana alichosema ni utoto. angesema miradi ilyoanzishwa haina faida kwa wanachi kama wenzake wanavyofanya ningemjibu maana hapo anakuwa kakosa uelewa tu lakini kwa hiki alichosema hata Mnyika, Lissu na Mbowe watakuwa wanashangaa
miradi ni mingi tu, kuna dp world, miradi ya tozo, kuteka kuumiza na nakuua watanganyika na kadhalikaHoja hupingwa kwa hoja jamani, wekeni miradi iliyoanzishwa na mh.Samia tukate mzizi wa fitina..amen
Kaka wewe nikikuita MJINGA unaonaje??Wapinzani wana vituko sana ndio maana CCM inawashinda kwa sababu watanzania wanaona vyama vya upinzanu ni vikundi vya sanaa za uchekeshaji. Huyu msanii anasema hakuna mradi ulioanzishwa na Rais Samia na hapo hapo wasanii wenzake wanakuja kusema miradi inayoanzishwa haiwasaidii wananchi. Niseme tu wapinzani hawana tumaini tena ni zaidi ya kufanya fitina na ulaghai
Kigaila anaweweseka tu
Ungemjibu hoja yake na sio kuweweseka kwake.Kigaila anaweweseka tu
Kwenye kuweweseka kuna hoja?Ungemjibu hoja yake na sio kuweweseka kwake.
kwenye kipi Samia kaanzisha mbali ya mabango ya mama kuupiga mwingi na Kizimkazi Festival.Kwenye kuweweseka kuna hoja?