Pre GE2025 Kigaila: Rais Samia hajaanzisha mradi wowote tangu awe Rais isipokuwa mradi wa mabango ya Mama anaupiga Mwingi!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hawa machadema ndio waanzilishi na waimbaji wa mwanzo wà slogan ya mama anaupiga mwingi. Baada ya Mbowe kuswekwa lupango na mama kwa kesi ya ugaidi wakageuka kama kawaida yao sasa wanakana kwamba ndio waanzilishi wa mama anaupiga mwingi.
 
Awamu hii pesa ya wananchi inatumika hovyo sana!!
 
Kifupi huwezi kunipangia namna bya kufanya argument, kama wewe ambavyo ulikuja na argument ya kijinga kuwaita CHADEMA wasanii.
 
Malizia mradi mmoja wa KUUZA RASILIMALI ZA NCHI, ikiwemo Benchmark yetu Bandari
 
Si kweli kuna miradi mipya imeanza chini ya Rais Samia Suluhu Hassan na pia amejitahidi kukamilisha miradi muhimu ya mwanzo. Huwezi kupinga kila kitu, ukweli kuna mazuri yaliyotendeka chini yake.
 
Huyu Mwalimu wa Hesabu kasema ukweli mtupu...Maza kaishia kuongeza mgao wa Fedha Zanzibar, Hela ya kuteka watu na kununua magari ya kifahari ya viongozi. Nothing tangible
 
Kigaila ndo think tank ya CHADEMA kwa sasa. Kwenye CHADEMA huyo ni miongoni mwa wenye akili akifuatiwa na Mdude Chadema. Kwa akili za genge la CHADEMA walitaka miradi iliyokuwa imeanza isimame? Si majuzi walionekana kwenye SGR wakielekea Dodoma?
 
Yaani upinzani ukiwa na viongozi vilaza wa dizaini ya kigaila kushika dola ni ngumu sana yaani haoni anachofanya mama wakati mbowe anasifia juhudi za mama yeye ni nani mpaka ashangae? huyu hafai kuwa kiongozi wanapoteza muda tu
Pamoja na huo ujinga alio nao bado CCM tuna imani na Kigaila.
 
Kaka kuandika bila kuweka paragraphs no KELELE, jifunze kuweka paragraphs!!
 
Wajibu kwa hoja na siyo kutulisha MATANGO!
Huyu Muunguja hana maajabu zaidi ya kuishi kama malkia na watoto wake! Anaponda hela ya mlipa kodi na familia yake balaa!
Bado la kuuza maliasili na rasilimali!
Bure kabisa kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…