Kigamboni haina maji inakuwaje yaliyopatikana yapelekwe mjini kabla ya wanakigamboni kupewa maji?

Nchi niliitoa ama nilipata tokea msituni anayeitaka naye aanzie msituni by m7 voice
 
Hivyo visima huko mjini kwani hawana? Kwahiyo kukiwa na shule binafsi hapastahili kuwepo shule ya serikali?
Kama shule binafsi ni bei rahisi na more reliable, shule ya serikali ya nini?
Halafu hujaambiwa maji yote yanaenda mjini, kwa hiyo kuwa mpole.
 
Kama shule binafsi ni bei rahisi na more reliable, shule ya serikali ya nini?
Halafu hujaambiwa maji yote yanaenda mjini, kwa hiyo kuwa mpole.
Yaani uzindue maji kwa kuyapeleka mjini wakati jilani na kisima hana maji hii zarau kiasi gani
 
Jiulize Mwanza maji kupata ya ziwa Victoria ni shida alafu Kahama,Nzega, Tabora yapo ya kutodha hii nchi [emoji2]

Lakini kweli Mwanza Buhongwa maji ya shida miaka na miaka, lakini maji hayo kutoka ziwa Victoria yanapatikana Tabora bill wasiwasi.
 
Lakini kweli Mwanza Buhongwa maji ya shida miaka na miaka, lakini maji hayo kutoka ziwa Victoria yanapatikana Tabora bill wasiwasi.
Huwezi halalisha makosa kwa kuiga makosa!
Ifahamike hii miradi ya kusafilisha maji ni tenda za watu kupiga hela, wameshindwaje kusubili kusambaza maji kigamboni kabla ya kuyapeleka mijini?
 
ukiwatizama ni watu wazima lakini akili hawana.
 
huyu naye alituambia tupige mbizi miaka ile akiwa waziri.
 
Mgonjwa wa Selimundu anaahidi kuchangia damu

Mgonjwa anaeendelea na huduma ya kusafishwa figo nae anapanga foleni ya kujitolea figo

hongereni Waungwana wa kigamboni kutuletea maji wakazi wa jiji
Inabidi kwanza ncheke kama mazuri![emoji38][emoji38][emoji38][emoji6][emoji6].
 
Subiri povu kutoka kwa wala keki yetu
 
Wengi waliojenga Kigamboni wana visima.
Wapeni tu maji watu wa Goba na tegeta sijui bunju huko nao wawe wanapata mkogo asubuhi.
"Wengi"... je wachache wafanye nini?

Je usalama wa maji ya visima kiafya nani kawahakikishia?

Matumizi ya maji kwa binadamu ni zaidi ya kuoga.
 
Hapo nauli Cheka kwa kweli walitazama upya
 
Ndio maana Leo hapa mtaani kwangu wameanza kuchimba kabisa mitaro na wako na speed sana kuvusha maji

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…