Kigamboni haina maji inakuwaje yaliyopatikana yapelekwe mjini kabla ya wanakigamboni kupewa maji?

Attachments

  • IMG_20221029_152109_516.jpg
    IMG_20221029_152109_516.jpg
    1.2 MB · Views: 3
Haya ndio majibu Ya sisiemu
1. Piga mbizi..
2. nunua pantoni lako peke yako utakaa kwa Raha
3.kanye nyumbani.
4. Nunua la kwako
5. Nenda ulaya utapata utu
6. Unakuhusu nini?
7. Tengeneza la kwako uweke hiyo ruti
8. Utatupa pesa ya kujenga Hilo daraja?

Ifike sehemu viongozi muwe na aibu jamani na wakazi wa kigamboni hata kama niwapole!

1. Wananchi wa kigamboni wanaishi kama digidigi kwenye pantoni na hakuna kiongozi hata mmoja anaeguswa na hilo
2. Mabanda ya abiria kwenye pantoni hayana viti lakini hakuna anaejigusa Si Temesa, Si LATRA, Si mbuge wala mkurugenzi

3. Vyoo kwenye mabanda ya pantoni kipindi cha MAGUFULI walifuta tozo, lakini sasa ni malupo ili abiria atumie choo lazima alipie tena akiwa ndani ya banda!
4. Abiria wa pantoni wanalipa na wapo wa kutosha lakini vivuko ni vibovu balaa na pachafu utafikili wanavusha mifugo (No standard)!
5. Hakuna mkakati rasmi wa kulinda utu na ustaarabu wa abiria.
6. Msaada wa AZAM TAX wananchi wanashukuru, lakini Hakuna taarifa rasmi kwa wananchi kwamba AZAM ametoa huduma hiyo kwa makubaliano yepi, je ana mkataba upi wa zawadi au tenda yake ni ya mda gani! Kajitolea au kaombwa kwa makubaliano gani (Tunashukuru lakini wananchi wapeni taarifa-Updates)
7. LATRA Wekeni ruti ndefu ya usafili kuunganisha kigamboni na kinondoni ili kupunguza msongamano kwenye pantoni
8. Ingawa tiba ya kudumu kabisa pale ni kuweka daraja la chini pale kivukoni katika muundo wa spiral - sea under pass!

Yote tisa kumi Sasa mnataka kuibua mgogoro mwingine wa ishu ya maji kwa makusudi kabisa

Tone la maji la kwanza kigamboni linapelekwa mjini wakati wakazi wa kigamboni hawana maji tangu Uhuru hii ni dharau iliyopitiliza!

Siyo kwamba napinga maji kuvushwa mjini hapana, lakini je Wakazi wa kigamboni wamepatiwa hayo maji yenyewe?

Mwaka 2019 kwenye kampeni ya vyoo bora, kigamboni ilikuwa ya mwisho kutokana na ukosefu wa mtandao wa maji majumbani.

Visima vya maji kigamboni ndo kwanza vimekamilika sasa, Wananchi asilimia 95% hawana maji inakuwaje unazindua mradi kwa kuelekeza maji mjini kabla ya neema hii kuwafikia wanakigamboni kwanza?

Kama hoja ni upungufu wa maji mjini, kwa uzito huohuo ifahamike wanakigamboni wao hawana maji kabisa!
View attachment 2400944
 
Sehemu zote hizi zilizojaa dar unaenda kujenga kigamboni kila siku unakimbizana kwenye panton kama unaenda zanzibar kila siku kweli kupanga ni kuchagua na akili ni nywele
 
Unataka kusemaje! Kwamba kigamboni ni gemu rizevu au?
 
Kigamboni tumesahaulika sana tukipita darajani tunalipa nakwenye panton... panton sasa zimechokaaaa huduma pale ni mbovuuuuu kulipia kadi folen yake unaeza gaili kuvuka sasa kwenye maji visima viko kisarawe2 maji yanapita tu watu tunayaangalia tu ila sisi tunywe ya visima huh ni undezi ....inauma sana ..kigamboni kwa kweli km hatuna viongozi hivi cheka kigamboni nauli 1000 yaaa tupo tupo tu ...[emoji24]
Kigamboni sio dasalama
 
Kule wanapaweza wapemba si unaona wamejazana sana kule wanajua wapo zanzibar.
Yes wapemba kwa upepo wa bahari wanapemba si unajua misuli inataka upepo
 
Haya ndio majibu Ya sisiemu
1. Piga mbizi..
2. nunua pantoni lako peke yako utakaa kwa Raha
3.kanye nyumbani.
4. Nunua la kwako
5. Nenda ulaya utapata utu
6. Unakuhusu nini?
7. Tengeneza la kwako uweke hiyo ruti
8. Utatupa pesa ya kujenga Hilo daraja?
Bora wahame sasa
 
Kigamboni ipi kuna shida ya maji? Wakazi wengi kigamboni wamechimba visima vyao wachache ndio wanategemea DAWASA...sasa wewe utamwambia mtu aunge maji ya kulipia 15+k kwa mwezi wakati wamezoea kupandisha kwa umeme wa 2k...huu mradi ni mkubwa, ili kurudisha pesa, itabidi waungwe watu wengi zaidi.
Ila ya Dawasco hayana chumvi, yanatoka kina kirefu sana,

Yenu yanasababisha kutu, bafu kufubaa, vigae kupauka
Nguo kupauka
 
Ifike sehemu viongozi muwe na aibu jamani na wakazi wa kigamboni hata kama niwapole!

1. Wananchi wa kigamboni wanaishi kama digidigi kwenye pantoni na hakuna kiongozi hata mmoja anaeguswa na hilo
2. Mabanda ya abiria kwenye pantoni hayana viti lakini hakuna anaejigusa Si Temesa, Si LATRA, Si mbuge wala mkurugenzi

3. Vyoo kwenye mabanda ya pantoni kipindi cha MAGUFULI walifuta tozo, lakini sasa ni malupo ili abiria atumie choo lazima alipie tena akiwa ndani ya banda!
4. Abiria wa pantoni wanalipa na wapo wa kutosha lakini vivuko ni vibovu balaa na pachafu utafikili wanavusha mifugo (No standard)!
5. Hakuna mkakati rasmi wa kulinda utu na ustaarabu wa abiria.
6. Msaada wa AZAM TAX wananchi wanashukuru, lakini Hakuna taarifa rasmi kwa wananchi kwamba AZAM ametoa huduma hiyo kwa makubaliano yepi, je ana mkataba upi wa zawadi au tenda yake ni ya mda gani! Kajitolea au kaombwa kwa makubaliano gani (Tunashukuru lakini wananchi wapeni taarifa-Updates)
7. LATRA Wekeni ruti ndefu ya usafili kuunganisha kigamboni na kinondoni ili kupunguza msongamano kwenye pantoni
8. Ingawa tiba ya kudumu kabisa pale ni kuweka daraja la chini pale kivukoni katika muundo wa spiral - sea under pass!

Yote tisa kumi Sasa mnataka kuibua mgogoro mwingine wa ishu ya maji kwa makusudi kabisa

Tone la maji la kwanza kigamboni linapelekwa mjini wakati wakazi wa kigamboni hawana maji tangu Uhuru hii ni dharau iliyopitiliza!

Siyo kwamba napinga maji kuvushwa mjini hapana, lakini je Wakazi wa kigamboni wamepatiwa hayo maji yenyewe?

Mwaka 2019 kwenye kampeni ya vyoo bora, kigamboni ilikuwa ya mwisho kutokana na ukosefu wa mtandao wa maji majumbani.

Visima vya maji kigamboni ndo kwanza vimekamilika sasa, Wananchi asilimia 95% hawana maji inakuwaje unazindua mradi kwa kuelekeza maji mjini kabla ya neema hii kuwafikia wanakigamboni kwanza?

Kama hoja ni upungufu wa maji mjini, kwa uzito huohuo ifahamike wanakigamboni wao hawana maji kabisa!
View attachment 2400944
Poleni sana wana kigambon
 
Ila ya Dawasco hayana chumvi, yanatoka kina kirefu sana,

Yenu yanasababisha kutu, bafu kufubaa, vigae kupauka
Nguo kupauka
Bora nyie mnayapata hata hayo ya chumvi chumvi kigamboni hawana hata tone la dawasco
 
Back
Top Bottom