Kigamboni haina maji inakuwaje yaliyopatikana yapelekwe mjini kabla ya wanakigamboni kupewa maji?

Attachments

  • IMG_20221029_152109_516.jpg
    1.2 MB · Views: 3
Haya ndio majibu Ya sisiemu
1. Piga mbizi..
2. nunua pantoni lako peke yako utakaa kwa Raha
3.kanye nyumbani.
4. Nunua la kwako
5. Nenda ulaya utapata utu
6. Unakuhusu nini?
7. Tengeneza la kwako uweke hiyo ruti
8. Utatupa pesa ya kujenga Hilo daraja?

Sehemu zote hizi zilizojaa dar unaenda kujenga kigamboni kila siku unakimbizana kwenye panton kama unaenda zanzibar kila siku kweli kupanga ni kuchagua na akili ni nywele
 
Sehemu zote hizi zilizojaa dar unaenda kujenga kigamboni kila siku unakimbizana kwenye panton kama unaenda zanzibar kila siku kweli kupanga ni kuchagua na akili ni nywele
Unataka kusemaje! Kwamba kigamboni ni gemu rizevu au?
 
Kigamboni sio dasalama
 
Kule wanapaweza wapemba si unaona wamejazana sana kule wanajua wapo zanzibar.
Yes wapemba kwa upepo wa bahari wanapemba si unajua misuli inataka upepo
 
Bora wahame sasa
 
Ila ya Dawasco hayana chumvi, yanatoka kina kirefu sana,

Yenu yanasababisha kutu, bafu kufubaa, vigae kupauka
Nguo kupauka
 
Poleni sana wana kigambon
 
Ila ya Dawasco hayana chumvi, yanatoka kina kirefu sana,

Yenu yanasababisha kutu, bafu kufubaa, vigae kupauka
Nguo kupauka
Bora nyie mnayapata hata hayo ya chumvi chumvi kigamboni hawana hata tone la dawasco
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…