Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mfano population imeongezeka hawana Ardhi wala lkipato chochote utawaacha wafe na njaa wakati eneo la kulima lipo hiyo mbuga Utaona wanyama muhimu kuliko uhai wao?Nafikiri hujaielewa .
Point sio kuwa wanyonge wakandamizwe, lakini ubora wa Rais haupimwi kwa kuwafurahisha wanyonge
Mfano akitokea Rais akasema wananchi wanaruhusiwa kuvamia hifadhi na misitu, wanyonge watafurahi sana, je huyo atakuwa rais bora?
Wako sahihi.wanachohitaji ni kutimiziwa mahitaji yao sio porojo za katiba au tume huruWanyonge ukiwauliza "katiba na umeme kipi bora?" Utasikia umemeéeee!! Hahahaha
Kuwajali wanyonge ni sifa ya kipekee haswa unapokuwa unapanda kimaisha na kupata utajiri. Ni sifa ya ubinadamu.Hivi mkuu hao watawala wa zamani walikuwa wakichaguliwa na wanyonge?
Zilikuwa ni tawala za kiukoo na mabwanyenye na zilikubakika kwa Mungu
Point hapa sio kukandamiza wanyonge, ila kuna mambo mengine sio popular ila yana faida kwa muda mrefu na hapo huihitaji maoni ya wanyonge kuyatekeleza
Wanyonge wanahitaji kukombolewa na Sio kusifiwa unyongeNaona watu fulani wanapiga sana ngonjera kuhsu rais huyu kupendwa na wanyonge na mwingine kutopendwa na wanyonge, siju kama ni kweli
Lakini hebu tuwaangalie hawa wanyonge ni watu gani.. Wanyonge wanasemwa kuwa ni watu wa kipato kidogo wasio na ajira rasmi wala elimu kubwa, hata hapa JF wanasema mitandao kama ya Facebook ina wanyonge wengi ambao wanamkubali kiongozi fulani na kumkataa mwingine
Sasa ukipima uelewa wa hawa wanyonge kuhusu maswala ya siasa, utawala na uchumi ndio utajua kuwa hawa watu maoni yao hayana maana yoyote kuhusu rais bora ama asiye bora ni yupi
Ukiwauliza kuhusu ripoti ya CAG hawajui lolote, ukiwauliza majukumu ya bunge hawajui, ukiwauliza kuhusu uchumi wa kati ni nini hawajui lolote, yaani hawaelewi chochote kuhusu mihimili na mifumo ya serikakali
Na kutokana na uelewa finyu wanyonge hawa ni rahisi sana kulaghaiwa na wanasiasa, mfano kipindi cha mwaka 2010 hadi 2015 Chadema walijipatia sifa na umaarufu sana kutoka kwa wanyonge kwa kuwaambia kuhusu ufisadi wa Lowassa, lakini Chadema walipobadilisha gia angani na kumsimamisha Lowassa kwenye urais, Wanyonge waliwakubali tena Chadema na kufikia kudeki barabara na kumpa Lowassa kura nyingi sana
Miaka ya hivi karibuni kulitokea kiongozi mmoja akafanikiwa sana kuwalaghai wanyonge, na ndio mtaji mkubwa unaotumika na wanaomtetea huyo kiongozi
Wanyonge wanapenda kuambiwa tu nitawapa vitu vya bure, nitawafilisi matajiri, nitrawaruhusu kufanya biashara popote, nitawaruhusu kuchunga mifugo popote n.k bila kuelewa hasara za hivyo vitu kwa mapana
hivi sasa crisis ya dunia na vitu kupanda bei imewapa nafasi nzuri wanasiasa laghai kuwatapeli wanyonge, utasikia mtandoni wakisema ingekuwa flani angekuwepo vitu visingepanda na wanyonge kutokana na kutoelewa wanawaamini
Sisemi wanyonge wakandamizwe ila sio kipimo cha ubora wa Rais
Hoja yangu Ni kwamba unachotaka kukipata Ni kitu kisichokiwepo, utahangaika mpaka kufa.
Hapo Kenya wana Tume huru ya uchaguzi na Katiba Mpya lakini mpaka Leo bado wanalilia Mabadiliko.
Sasa hivi, wanasiasa wanachofanya Ni kutengeneza magenge ya msimu wanayo yaita vyama kutafutia madaraka lakini watu Ni wale wale.
Huijui Kenya.Kwa taarifa yako hao Wakenya wako vizuri kuliko sisi, na wana uhuru wa kutosha kwenye kujieleza kuliko sisi tuliofubazwa kwa shuruti na ccm. Mabadiliko wanayoyataka ni kuboresha zaidi hatua waliyopo, ambayo ni maili nyingi kulinganisha na sisi. Kwakuwa ww ni mzee sitegemei utake mabadiliko kwani umri na mtazamo wako tayari umeshagota.
Kuwajali wanyonge ni sifa ya kipekee haswa unapokuwa unapanda kimaisha na kupata utajiri. Ni sifa ya ubinadamu.
Naona watu fulani wanapiga sana ngonjera kuhsu rais huyu kupendwa na wanyonge na mwingine kutopendwa na wanyonge, siju kama ni kweli
Lakini hebu tuwaangalie hawa wanyonge ni watu gani.. Wanyonge wanasemwa kuwa ni watu wa kipato kidogo wasio na ajira rasmi wala elimu kubwa, hata hapa JF wanasema mitandao kama ya Facebook ina wanyonge wengi ambao wanamkubali kiongozi fulani na kumkataa mwingine
Sasa ukipima uelewa wa hawa wanyonge kuhusu maswala ya siasa, utawala na uchumi ndio utajua kuwa hawa watu maoni yao hayana maana yoyote kuhusu rais bora ama asiye bora ni yupi
Ukiwauliza kuhusu ripoti ya CAG hawajui lolote, ukiwauliza majukumu ya bunge hawajui, ukiwauliza kuhusu uchumi wa kati ni nini hawajui lolote, yaani hawaelewi chochote kuhusu mihimili na mifumo ya serikakali
Na kutokana na uelewa finyu wanyonge hawa ni rahisi sana kulaghaiwa na wanasiasa, mfano kipindi cha mwaka 2010 hadi 2015 Chadema walijipatia sifa na umaarufu sana kutoka kwa wanyonge kwa kuwaambia kuhusu ufisadi wa Lowassa, lakini Chadema walipobadilisha gia angani na kumsimamisha Lowassa kwenye urais, Wanyonge waliwakubali tena Chadema na kufikia kudeki barabara na kumpa Lowassa kura nyingi sana
Miaka ya hivi karibuni kulitokea kiongozi mmoja akafanikiwa sana kuwalaghai wanyonge, na ndio mtaji mkubwa unaotumika na wanaomtetea huyo kiongozi
Wanyonge wanapenda kuambiwa tu nitawapa vitu vya bure, nitawafilisi matajiri, nitrawaruhusu kufanya biashara popote, nitawaruhusu kuchunga mifugo popote n.k bila kuelewa hasara za hivyo vitu kwa mapana
hivi sasa crisis ya dunia na vitu kupanda bei imewapa nafasi nzuri wanasiasa laghai kuwatapeli wanyonge, utasikia mtandoni wakisema ingekuwa flani angekuwepo vitu visingepanda na wanyonge kutokana na kutoelewa wanawaamini
Sisemi wanyonge wakandamizwe ila sio kipimo cha ubora wa Rais
Huijui Kenya.
kweliNaona watu fulani wanapiga sana ngonjera kuhsu rais huyu kupendwa na wanyonge na mwingine kutopendwa na wanyonge, siju kama ni kweli

Hakuna kitu kinaitwa Chatto (International Airport) ila Geita Airport na IATA Code yake ni GIT. Unajikuta mjuaji kumbe haujui chochote. 🚮
Nimeishi Kenya, sasa sijui kama siijui kijiografia ama kisiasa? Na nina uwezo wa kupambanua mazingira yao na yetu na kujua ukweli. Ukiitazama Kenya kwa mtazamo wa kiccm utawaona wanakosea. Lakini wako vizuri kuanzia kiuchumi, kijamii, kielimu, kiafya na hata kisiasa kulinganisha na sisi wenye amani ya kwenye vitabu.
Ukisema uongo hakikisha unajua pia na ukweli wake😂😂😂. Natumia sana uwanja wa Chato na nimekuja Dar jumamosi narudi jumanne. Sijaona kufutwa kwa safari za ATCL kwenda Chato
Bonge la ukweliMnyonge tulia.
Wenzenu kina SABAYA, ALLY HAPI, HERI JAMES, ALEXANDER MNYETI, MAKONDA Ni MATAJIRI wa KUTISHA.
Mnyeti ndio alikuwa anashika FUKO LA PESA ZA KUNUNUA WABUNGE.
Amejenga MAHEKALU,
Amejenga Uwanja Bora kabisa wa Gwambina.
Anaendesha timu ya Gwambina,
Amenunua TCC CHANG'OMBE na sasa inaitwa GWAMBINA TCC CHANG'OMBE Hapo ndio Kuna Gym, na vifaa vyote vya mazoezi vya Gwambina.
Sasa wewe endelea kubweka bweka mitandaoni Ndugu mnyonge
Unapowajengea majengo na kuagiza waishi humo miaka mitano ni ishara kubwa sana ya kuwajali.Kuna kujali wanyonge, na kuwatumia wanyonge kuficha ajenda zako. Unapowajali wanyonge unawapa ajira. Sio kunyanyasa matajiri ili maskini wa kushangilie.
Kenya vs. Tanzania - Country Comparison
www.indexmundi.com
Mimi nipanic kwasababu ipi?Naona umepanic mpaka umeokota tu link na kuitupa hapa.
Unapowajengea majengo na kuagiza waishi humo miaka mitano ni ishara kubwa sana ya kuwajali.
Unaposoma watoto wao bure kabisa ni ishara nyingine ya kuwajali kwa vitendo.
Binadamu anaharibikiwa kwa ubinafsi wake na sio zaidi ya hapo.
Kwani kuna tofauti na hapa kwetu? watu huko vijijini wanatumia maji na mifugo tena maji yenyewe ni tope tupu.Mimi nipanic kwasababu ipi?
Kenya ukitoa Genge la Wanasiasa wanaomiliki Kenya tangu UHURU na Makampuni ya kimataifa ambayo yameifanya Kenya Kama Hub ya East Africa.
Mtu wa Kawaida anaishi Kama Yuko JEHANUM ya MOTO na hajui atajiokoa lini.