nyakubonga
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 7,088
- 12,837
Huyu jamaa ni nani...
Alikuwa Mtu, kikundi kilichouandamana utawala wa Magufuli na kuutetemesha...
Alipewa taarifa nyeti na nani kipindi hicho? maana taarifa nyingi alizotoa zilikua sahihi...
Kwanini yuko kimya katika utawala huu?
Je mambo aliyopigania yamepatikana? au hakuupenda tu utawala wa Magufuli!!
My take:
Kwa namna mtiririko wa matukio ulivyokwenda, naanza kuamini jina hili(Kigogo) lilimaanisha mtandao uliosukwa vizuri kuusurubu utawala wa Magufuli...
Na wahusika wa mtandao huu wanafaidika au kuwa na uhusiano wa moja kwa moja na utawala huu wa sasa au wa kabla ya Magufuli...
Na nashawishika kuamini kuna watu walitumika kumwangusha Magufuli kipindi hicho bila kujua dhamira halisi ya mtandao huu na sasa wamekufa au wanajuta.