Lech Poznan
JF-Expert Member
- Jul 3, 2025
- 783
- 1,211
Ni kweli mkuu Magufuli alijikanyanga kuwawaza wapinzani badala ya kuwawaza maadui wake ambao wapo pamoja kwenye mtumbwi, Na watoto wake kwanin hawakumpa Ushauri.Magufuli alikuwa Engeneer hakua mwanasiasa...
Nafikiri hiki kilimcost...
Kuna mambo aliyajua ila hakuyachukulia maanani...
Kwasababu aliamini siasa ni kama sayansi ya kweli, kwamba kila swali hujibiwa kwa formula inayojulikana...
Yeye aliamini adui ni yule aliye upande tofauti na wewe...
Badala ya kupambana na adui halisi akapewa bosheni (wapinzani)