Gunner11
JF-Expert Member
- Nov 2, 2021
- 16,680
- 31,804
HakikaNi muhimu Mzee especially kama Umewahi kuwa sehemu ya Mchakato Fulani, Anaelewa kuwa kuwa keep too longer na wasaidizi ni very risk mana sifa kuu ya binadamu ni kushawishiwa

na Faizafx yumo ktk kundu hiliKigogo, Fatma karume, utawasikia siku akija raisi ambae Hana maslahi nao
Pia kuna mjukuu wa baharia wa Kinyasa aliyehamia upande wa pili zama za jiwe alikuwa kila siku kelele, siku hizi kawa kimya kwa kuwa sasa ni zamu ya mtu wa kwao, hata baba yake alikuwa amepotea enzi za jiwe, siku hizi kila siku yupo kwenye kila shughuli na mwanya wake.Huyu jamaa ni nani...
Alikuwa Mtu, kikundi kilichouandamana utawala wa Magufuli na kuutetemesha...
Alipewa taarifa nyeti na nani kipindi hicho? maana taarifa nyingi alizotoa zilikua sahihi...
Kwanini yuko kimya katika utawala huu?
Je mambo aliyopigania yamepatikana? au hakuupenda tu utawala wa Magufuli!!
My take:
Kwa namna mtiririko wa matukio ulivyokwenda, naanza kuamini jina hili(Kigogo) lilimaanisha mtandao uliosukwa vizuri kuusurubu utawala wa Magufuli...
Na wahusika wa mtandao huu wanafaidika au kuwa na uhusiano wa moja kwa moja na utawala huu wa sasa au wa kabla ya Magufuli...
Na nashawishika kuamini kuna watu walitumika kumwangusha Magufuli kipindi hicho bila kujua dhamira halisi ya mtandao huu na sasa wamekufa au wanajuta.
Siasa za bongo zimejaa hila na kuharibiana.Pia kuna mjukuu wa baharia wa Kinyasa aliyehamia upande wa pili zama za jiwe alikuwa kila siku kelele, siku hizi kawa kimya kwa kuwa sasa ni zamu ya mtu wa kwao, hata baba yake alikuwa amepotea enzi za jiwe, siku hizi kila siku yupo kwenye kila shughuli na mwanya wake.
Alifanikiwa kwenda na upepo na alichota raia wengi sana huko X zamani twitterIla alikuwa overated sana. Alipatia baadhi ya mambo lakini kuna mengine mengi alikuwa hajui. Zaidi alikuwa anatumia propaganda ya maneno tu.
Noma sana...Kwani hujuma za Kina Kikwete na Samia na hata majority ya CCM kwa Magufuli zilikuwa za ''kumulika''? Ni vile tu Magufuli alikuwa amezungukwa na wapambe badala ya watu wenye busara na yeye akawa upeo wake ni mdogo, lakini kuna wengi walishaona jinsi walivyokuwa anawindwa. Halafu alivyokuwa na upeo mdogo wapambe wakafanikiwa kumdanganya Lissu na CHADEMA ndiyo maadui zake kumbe maadui halisi ni wao.
Polepole hakufahamu hili ?Yule ni moja ya watu wanaoijua siasa ya Tanzania...
Siasa ya nchi hii, ni salama kuwa kimya kuliko kuongea hata kama unajua mambo hayaendi sahihi.
Pia kuna mjukuu wa baharia wa Kinyasa aliyehamia upande wa pili zama za jiwe alikuwa kila siku kelele, siku hizi kawa kimya kwa kuwa sasa ni zamu ya mtu wa kwao, hata baba yake alikuwa amepotea enzi za jiwe, siku hizi kila siku yupo kwenye kila shughuli na mwanya wake.
Naamini alilijua hili...Polepole hakufahamu hili ?
Umeiweka vizuri...Ngoja nikupe tips kadhaa na wewe utaweza kuendelea na mjadala.
Kwanza Kigogo ukitaka kujua ni nani [uhalisia wake baada ya cover yake kutoka]
Angalia machapisho kadhaa ya ID ya fisadi Ridhiwani ya humu utaona yanawiana na yale kwenye ile account ya Kigogo kwa sasa hiyo ID kama wewe ni mkongwe na mdadisi utakua ushaijua maana utakuta post kadhaa zimefuatana kutoka account ile na huku zipo vile vile.
Kigogo hakuwa mkosoaji wa Kikwete& Rostam maana yake alikua team Msoga , Kigogo alikia anawakosoa Bashe & Mwigulu, Bashe ambao kwa nyakati fulani walikua kinyume na mzee wa Msoga tena Bashe hata aliwahi reply tweet ya Kikwete kumkaribisha Lowassa tena CCM kwa jazba maana alikua team Lowassa hii inakupa picha kambi aliyokuwepo kigogo ilikua team Msoga.
Account ile ilichagua mtandao wenye securiry kubwa ambao hautoi taarifa za mtumiaji kirahisi kwa serikali [Twitter] wakati ule , waliweza kugundua hili kwani wakati wa Magufuli mwanzoni ilikuwepo account Facebook inajiita Tanzagiza waliizima mapema sababu Meta sera zao sio nzuri sana kulinda faragha za wateja hali iliyotoa ugumu.
Kigogo aliendesha shughuli zake kutokea UK huko ila taarifa walikua wanampa waliopo karibu hasa ikisemekana taarifa nyingi zilikua zikitoka jiwe akiwa Magogoni kuliko sehemu nyingine je pale Magogoni walifunga nini mimi na wewe hatujui, hiyo ilichangia jiwe kuharakisha safari ya kuhamia Dodoma .
Baada ya jiwe kufa kigogo alimkosoa Samuya kidogo baadae akabadili gia baada ya kusemekana mwanzo Samuya alitaka kwenda kinyume na kambi yao ila alivyorudi akawa ni mwendo wa mapambio.
Baada ya jiwe kukodi waisrael na waromania kujaribu kudeal na account hiyo walijua ilikua inatokea nchi gani kilichobaki kikawa kigumu kwao ni kupata sura yake na mtandao mzima wa taarifa hapo ugumu ukaja sura ni lazima wawasiliane na mamlaka huko alipo na Twitter haikua tayari kutoa taarifa za mteja ikabaki njia ya kuiripoti account ile hadi.ikapotea kama wiki 2 kabla ya uchaguzi ila wakatuma appeal ikatoka.
Account ya Kigogo ilikua verified /blue tick siku moja kabla ya uchaguzi baada ya appeal kukubaliwa na akaambiwa sasa ili asisumbuliwe atume picha/video/selfie na document kadhaa apewe uthibitisho hapa naongelea ile Twitter ya zamani kupata blue tick ni hadi wao wakufanyie verification ya document na uhalisia wako sio kama hii ya Elon unalipia dola kadhaa unapata blue tick.
Hivyo mtu anayebaki kumfahamu Kigogo kwa uhalisia zaidi ni wafanyakazi wa Twitter ya enzi zile na pengine wachache sana katika mtandao wao aliyekua anampasia taarifa nyeti.
Nimejaribu kuchambua kwa kiasi kidogo nilichodadisi kuhusu ile account tangu na baada ya kufa kwa Magufuli
NB:Account ile kwa sasa inaonyesha location yake sio UK tena bali Tanzania ni uhakika kazi ilishaisha na pengine walishamrudisha bongo baada ya kazi yake kuisha au account kapewa fisadi mtoto aindeshe kwa maslahi ya mtandao wao.
Fala huyo hana loloteZito Kabwe
Siyo kweliJanuary makamba
alikua anapewa na mtandao wa alyeko sasa madarakani. Baadae alipoingia madarakani akawa anapata taarifa za uongo na kwasababu ana followers wengi alipoaanza kumuita Jamog wakaweka uhusiano mzuri akakatia mpunga sasa hivi ni chawa. Niliwahi kumuuliza dm kwanini sasa hivi kabadilika akanijibu kwasasa hafanyi bure analamba asali na baadae akani blockJamaa alikua anapata taarifa za mbele ya mda na ni nyeti hasaa...
Kigogo-Kikwete
Hakuwa mtu ulikuwa mfumo uliokuwa kinyume na awamu ile lkn sasa ni mnufaika wa awamu nyingine. Kigogo a.k.a shemasi alikuwa mfumo ndani ya mfumo wa nchi uliokuwa very much corrupted, ambao haujawahi kuwa na huruma na raia , wala huruma ya wazazi wao wazee waliojinyima kuwapa elimu ili wawe manufaa , mfumo uliogeuza baraka za wazee wanaoteseka vijijini kwa kuwasomesha kwa jasho na damu kuwa FURSA za kujinufaisha
Na watajuta sana !Huyu jamaa ni nani...
Alikuwa Mtu, kikundi kilichouandamana utawala wa Magufuli na kuutetemesha...
Alipewa taarifa nyeti na nani kipindi hicho? maana taarifa nyingi alizotoa zilikua sahihi...
Kwanini yuko kimya katika utawala huu?
Je mambo aliyopigania yamepatikana? au hakuupenda tu utawala wa Magufuli!!
My take:
Kwa namna mtiririko wa matukio ulivyokwenda, naanza kuamini jina hili(Kigogo) lilimaanisha mtandao uliosukwa vizuri kuusurubu utawala wa Magufuli...
Na wahusika wa mtandao huu wanafaidika au kuwa na uhusiano wa moja kwa moja na utawala huu wa sasa au wa kabla ya Magufuli...
Na nashawishika kuamini kuna watu walitumika kumwangusha Magufuli kipindi hicho bila kujua dhamira halisi ya mtandao huu na sasa wamekufa au wanajuta.
Kuna wakati Kigogo alikuwa anampelekea moto mpaka mzee wa msogaNgoja nikupe tips kadhaa na wewe utaweza kuendelea na mjadala.