Veteran Sailor
JF-Expert Member
- May 28, 2025
- 2,042
- 4,416
Nyundo zilikuwa kama ukumbusho tu. Aliposhituka akawarudisha kwenye mirija na hapo kelele zikafikia tamati.Mwanzo alimgonga nyundo 🔨 sana
Nyundo zilikuwa kama ukumbusho tu. Aliposhituka akawarudisha kwenye mirija na hapo kelele zikafikia tamati.Mwanzo alimgonga nyundo 🔨 sana
Mkuu nakubaliana na wewe kwamba huenda Mlawa ndiye aliyesajili akaunti ile...JF siku hizi Kuna habari za Umbea tu mambo ya maana hayaletwi,Kuna Case Mahakama Kuu ya UK mlalamikaji bwana January Makamba dhidi ya Mlawa(Kigogo).hukumu imetoka mwaka Huu,.huyo ni mtu mmoja ukitaka kujua alikua anafanyaje kazi nitakupitisha huko
Swali msingi kabisa ,rais anaweza kuwa Bora sana ,lakini kama kukundi Cha watu wakiamua kwa maslahi Yao hatoboi. why ahujumiwe kwa asilimia mia Moja (watu wa usalama wanakuwa wapi.kitengo maluum Cha ulinzi wa rais ?)Hakika brother...
Huwa najiuliza maswali...
Kama ndani ya nchi kunaweza kutengenezwa mtandao wa kumhujumu raisi na ukafanikiwa...
Hao usalama wa taifa kazi yao hasa huwa ni nini?
Nakubaliana na weweHakuwa mtu ulikuwa mfumo uliokuwa kinyume na awamu ile lkn sasa ni mnufaika wa awamu nyingine. Kigogo a.k.a shemasi alikuwa mfumo ndani ya mfumo wa nchi uliokuwa very much corrupted, ambao haujawahi kuwa na huruma na raia , wala huruma ya wazazi wao wazee waliojinyima kuwapa elimu ili wawe manufaa , mfumo uliogeuza baraka za wazee wanaoteseka vijijini kwa kuwasomesha kwa jasho na damu kuwa FURSA za kujinufaisha
Kwamba yeye hana akili za kujua hivyo vitu vinaweza kuwa utambulisho kwake?Ili umjue Kigogo ni nani itabidi ufatilie sana twiti zake, sifa moja wapo nayoifahamu alikuwa mkristo(shemasi) shabiki wa Arsenal na pia alikuwa anaipenda Simba
Noma hii ..Hakika brother...
Huwa najiuliza maswali...
Kama ndani ya nchi kunaweza kutengenezwa mtandao wa kumhujumu raisi na ukafanikiwa...
Hao usalama wa taifa kazi yao hasa huwa ni nini?
Uko sahihi...Hata huyo mnayemtetea sasa inaweza ikawa KARMA. Ushirika wa "Wachawi' umeanza kulana nyama wenyewe kwa wenyewe.
Muache kuwa bendera fuata upepo, kama jambo huna maslahi nalo, achana nalo. Mnaona yule Mwamba wenu wa kuwavusha na yule wa migebuka., na yule mmoja wa shangazi wenu wa Taifa na wengineo.
Hata kale kaliopo Ughaibuni, mwanzoni kalianza kwa utetezi, na mkono kalishikana, baadae huwenda terms ziligoma.
Alikua akifanyaje kazi huyu bwana ?JF siku hizi Kuna habari za Umbea tu mambo ya maana hayaletwi,Kuna Case Mahakama Kuu ya UK mlalamikaji bwana January Makamba dhidi ya Mlawa(Kigogo).hukumu imetoka mwaka Huu,.huyo ni mtu mmoja ukitaka kujua alikua anafanyaje kazi nitakupitisha huko
Ila alikuwa overated sana. Alipatia baadhi ya mambo lakini kuna mengine mengi alikuwa hajui. Zaidi alikuwa anatumia propaganda ya maneno tu.Alikuwa anapata taarifa za jikoni kabisa ni wazi walishirikiana na watu ndani ya ikulu
Mengi yalikua sahihi...Ila alikuwa overated sana. Alipatia baadhi ya mambo lakini kuna mengine mengi alikuwa hajui. Zaidi alikuwa anatumia propaganda ya maneno tu.
Kwani hujuma za Kina Kikwete na Samia na hata majority ya CCM kwa Magufuli zilikuwa za ''kumulika''? Ni vile tu Magufuli alikuwa amezungukwa na wapambe badala ya watu wenye busara na yeye akawa upeo wake ni mdogo, lakini kuna wengi walishaona jinsi walivyokuwa anawindwa. Halafu alivyokuwa na upeo mdogo wapambe wakafanikiwa kumdanganya Lissu na CHADEMA ndiyo maadui zake kumbe maadui halisi ni wao.Nashukuru kwa kujua hili Samia alikua anamfanyia hujuma Magufuli live live
Huyu jamaa ni nani...
Alikuwa Mtu, kikundi kilichouandamana utawala wa Magufuli na kuutetemesha...
Alipewa taarifa nyeti na nani kipindi hicho? maana taarifa nyingi alizotoa zilikua sahihi...
Kwanini yuko kimya katika utawala huu?
Je mambo aliyopigania yamepatikana? au hakuupenda tu utawala wa Magufuli!!
My take:
Kwa namna mtiririko wa matukio ulivyokwenda, naanza kuamini jina hili(Kigogo) lilimaanisha mtandao uliosukwa vizuri kuusurubu utawala wa Magufuli...
Na wahusika wa mtandao huu wanafaidika au kuwa na uhusiano wa moja kwa moja na utawala huu wa sasa au wa kabla ya Magufuli...
Na nashawishika kuamini kuna watu walitumika kumwangusha Magufuli kipindi hicho bila kujua dhamira halisi ya mtandao huu na sasa wamekufa au wanajuta.
Hebu nikumbeshe mambo kama matano ''ya moto'' aliyo-post.Mengi yalikua sahihi...
Na si taarifa za maneno tu, hadi nyaraka za siri alikuwa anapata na ana post.
Jamani Kinana ni nini kimempata! Ni mzima kweli? Mbona amepotea kabisa.Benard Membe...
Kinana...
Nape...
Msoga...
Hakuna mtu awe Mwanasiasa au Mwanaharakati, useme hana maslahi hapana. Kuna Waziri mmoja huwa anasema, sisi tunajuana, ni ukweli kabisa wanajuana sana. Akitokea mtu akaanza kujifanya msafi, wanaanza kumshangaa, huyu kaanza kuwa msafi lini.Uko sahihi...
Hii nchi, siasa ni maslahi...
Na kwenye hili, sisi tusioujua ukweli ndio huumia.