lost files
JF-Expert Member
- Apr 17, 2025
- 1,146
- 3,425
Anaitwa Didier Mlawa..Mara ya mwisho alipewa Asylum Scotland akazingua
Ambaye maslahi yao/ yake ni kwa umma wa watanzania au binafsiKigogo ni taasisi kubwa, ambayo inashikwa na The most powerful man in the county.
Binafsi.Ambaye maslahi yao/ yake ni kwa umma wa watanzania au binafsi
Baada ya washirika wenza kurudishwa kwenye system, hakukuwa na sababu tena ya kuendelea kupaka matope.Mwanzo alimshambulia sana wa SASA, baada ya muda mchache akapoa... Huenda alifika bei au waliona watulie
Yule alikua sehemu ya mwisho wa bomba brother...Anaitwa Didier Mlawa..Mara ya mwisho alipewa Asylum Scotland akazingua
Yeah kigogo hakua mtu mmojaKigogo alikuwa anamjua mpaka mama anayekodisha madurubai pale Mburahati, mkisema Kigogo ni Kikwete nakataa, Britania alisemaga kuwa alikuwa miongoni mwa watu waliokuwa wanampa taarifa Kigogo
Huyu ni sawa na yule diamond platinums wa kuchovya aliyepo katoro. Bongo kitu kikiwa maarufu lazima wqibuke watu wanataka kujifananisha , ziliibuka akaunti nyingi Sana zinatumiwa jina hilo ,wengi lakini original haijawahi kuwa Facebook , Whatsapp Wala insta Bali alikuwa TwitterNa huyu sio yeye?View attachment 3679596
Kuwa mastermind sio lazima uingie kwenye field. Maelekezo tu, kazi wanafanya wengine.Kigogo alikuwa anamjua mpaka mama anayekodisha madurubai pale Mburahati, mkisema Kigogo ni Kikwete nakataa, Britania alisemaga kuwa alikuwa miongoni mwa watu waliokuwa wanampa taarifa Kigogo
Mimi nilikuwaga nafuatilia ya insta kumbe nayo fake! Duhh🤦🏽♀️Huyu ni sawa na yule diamond platinums wa kuchovya aliyepo katoro. Bongo kitu kikiwa maarufu lazima wqibuke watu wanataka kujifananisha , ziliibuka akaunti nyingi Sana zinatumiwa jina hilo ,wengi lakini original haijawahi kuwa Facebook , Whatsapp Wala insta Bali alikuwa Twitter
Hakika brother...Huyu ni sawa na yule diamond platinums wa kuchovya aliyepo katoro. Bongo kitu kikiwa maarufu lazima wqibuke watu wanataka kujifananisha , ziliibuka akaunti nyingi Sana zinatumiwa jina hilo ,wengi lakini original haijawahi kuwa Facebook , Whatsapp Wala insta Bali alikuwa Twitter
JF siku hizi Kuna habari za Umbea tu mambo ya maana hayaletwi,Kuna Case Mahakama Kuu ya UK mlalamikaji bwana January Makamba dhidi ya Mlawa(Kigogo).hukumu imetoka mwaka Huu,.huyo ni mtu mmoja ukitaka kujua alikua anafanyaje kazi nitakupitisha hukoYule alikua sehemu ya mwisho wa bomba brother...
Unaifahamu Alimentary canal?
Ilikua network ya watu wengi...
Na wengi wao hawakuwa mbali na Magufuli...
Na yeye kwa kutokujua, aliwaamini...
Hakujua siasa ni vita kama ilivyo vita nyingine...
Na kwenye siasa watu wanaweza kugombana hadharani ila kwenye maslahi bond yao haivunjiki.
Mwanzo alimgonga nyundo 🔨 sanaBaada ya washirika wenza kurudishwa kwenye system, hakukuwa na sababu tena ya kuendelea kupaka matope.
Uchambuzi umetushinda tumeanza kufuatiliana na hatujuani, ndicho kilichobaki kwa sasa!JF siku hizi Kuna habari za Umbea tu mambo ya maana hayaletwi,Kuna Case Mahakama Kuu ya UK mlalamikaji bwana January Makamba dhidi ya Mlawa(Kigogo).hukumu imetoka mwaka Huu,.huyo ni mtu mmoja ukitaka kujua alikua anafanyaje kazi nitakupitisha huko
Ungecopy ukapaste hapa tusome yote