Na huu ndo ukweli,na taarifa nyingi alikuwa anapewa na hawara yake Sam100Kigogo-Kikwete
Na huu ndo ukweli,na taarifa nyingi alikuwa anapewa na hawara yake Sam100Kigogo-Kikwete
Hii facebookNi yule wa X(Twitter)huyu?
Kikiwa na ukubwa fulani huitwa kigogoKipande cha Mti ni kuni.
Huwa naiona hiyo akaunti ila sina uhakika kama ni Kigogo halisiHii facebook
Haijachangamka hata uandishi tu!Huwa naiona hiyo akaunti ila sina uhakika kama ni Kigogo halisi
Na huu ndo ukweli,na taarifa nyingi alikuwa anapewa na hawara yake Sam100
Huwa naishitukia piaHaijachangamka hata uandishi tu!
Huenda hili likawa sababu ya Mheshimiwa rais wa sasa kutokuwaamini wasaidizi wake!Nashukuru kwa kujua hili Samia alikua anamfanyia hujuma Magufuli live live
Hili liko waziLile kundi lilijipanga kama tahadhari iwapo magu ataenda kinyume na matakwa/maslahi yao. Kweli alipoanza kumbana kila mmoja bila kuangalia sura na jina ndio akaanza kushambuliwa na simply kujua watu walijipanga magu alianza kuandamwa kwenye mitandao kinara akiwa kigogo, kwa wana harakati, magazeti baadhi(mengine magu akayatia kufuli) ilitumika kila nyenzo ya kufanya magu aonekane hafai hakuna iliyoachwa, Kuanzia vyombo vya dola badhi ya top wake hadi ktk ccm tunakumbuka huko ccm kwenyewe waandamizi wa chama walikua wanapigiana simu kumbagaza mwenyekiti wao (audio za kina nape, kinana, januari zikavuja).
Sisemi chochote hapa kaka...Utakuwa uko slow sana kutoelewa kuwa account ya kigogo inauhusiano na Samia na ukitaka kujua mawazo/mipango ya Abdul unaenda kwenye hiyo account kusoma Ramani.
Samia alikuwa ana mhujumu Magufuli moja kwa moja, ndio maana aliamua kumtoa Nchimbi haraka iwezekanavyo ili asikutwe na aliyomfanyia Mwendazake
Tiss walishindwa kunasa mawasiliano,wakazuia ?Alikuwa ni sa100 na ndiyo alimuua magufuli.
Walitengeneza umoja mtakatifu sana...Daaah enzi hizo
1.Kigogo
2.Fatuma karuma
3.Mboe
( Hawa watu 3 stawahau kumbe walikuwa wanatetea matumbo Yao )
LohAlikuwa ni sa100 na ndiyo alimuua magufuli.
Swali la msingi sana.Tiss walishindwa kunasa mawasiliano,wakazuia ?