Andromeda Galaxy
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 9,846
- 16,713
Ila sa hivi kapotea sanaYeah na taarifa zake zilikuwa uhakika.
Ila sa hivi kapotea sanaYeah na taarifa zake zilikuwa uhakika.
😂😂😂 tunajadili tu mkuu...Kijana jiangalie
View attachment 3679588
Kigogo-KikweteHuyu jamaa ni nani...
Alikuwa Mtu, kikundi kilichouandamana utawala wa Magufuli na kuutetemesha...
Alipewa taarifa nyeti na nani kipindi hicho? maana taarifa nyingi alizotoa zilikua sahihi...
Kwanini yuko kimya katika utawala huu?
Je mambo aliyopigania yamepatikana? au hakuupenda tu utawala wa Magufuli!!
My take:
Kwa namna mtiririko wa matukio ulivyokwenda, naanza kuamini jina hili(Kigogo) lilimaanisha mtandao uliosukwa vizuri kuusurubu utawala wa Magufuli...
Na wahusika wa mtandao huu wanafaidika au kuwa na uhusiano wa moja kwa moja na utawala huu wa sasa au wa kabla ya Magufuli...
Na nashawishika kuamini kuna watu walitumika kumwangusha Magufuli kipindi hicho bila kujua dhamira halisi ya mtandao huu na sasa wamekufa au wanajuta.
Kwa nafasi yake unaweza kung'amua....Ni hujuma ya kiwango cha juu sana...
Swali linakuja..
Hujuma ile ilikuwa kwa maslahi ya nani?
Kazi yake imekamilika na imefaulu.Ila sa hivi kapotea sana
Huenda akawa mmoja wao tu...Kigogo-Kikwete
Kigogo kwa maana ya kipande cha mti?Kigogo ni Kigogo tu.
Uko sahihiInatakiwa kuwa makini sana na siasa, kujitahidi kutokuwa mfuasi wa mtu na kuwa mfuasi wa anachopigania ni muhimu aisee.
Nakubaliana na wewe.Kigogo lilikua kundi la wengi sio mmoja. Haijitaji kumaliza darasa la 6 kujua kuwa regime ya sasa iko mikononi mwao ndio maana wamepoa kama hawapo.
Liko waziKigogo ananufaika na utawala huu ndio maana yupo kimya
Kipande cha Mti ni kuni.Kigogo kwa maana ya kipande cha mti?
Ni yule wa X(Twitter)huyu?Na huyu sio yeye?View attachment 3679596
January makamba