lost files
JF-Expert Member
- Apr 17, 2025
- 1,146
- 3,425
Hapana Kuna JF mbili,JF umbea(MMU) na JF Siasa (for intellectuals)Uchambuzi umetushinda tumeanza kufuatiliana na hatujuani, ndicho kilichobaki kwa sasa!
Kufatiliana wanafatiliana watu ambao wana interest hizo, ushawahi kumuona mwashamba kwenye chitchat??
If drama seem to always attract you,kumbuka birds of a same feather flock together!
I enjoy the peace.