Fatma karume amejikita ktk dini yake, ameamua kumtumikia muumba wake badala ya kumtumikia binaadam mwenziwe. Ila kigogo ni pasua kichwaKigogo, Fatma karume, utawasikia siku akija raisi ambae Hana maslahi nao
Fatma karume amejikita ktk dini yake, ameamua kumtumikia muumba wake badala ya kumtumikia binaadam mwenziwe. Ila kigogo ni pasua kichwaKigogo, Fatma karume, utawasikia siku akija raisi ambae Hana maslahi nao
Kigogo hawawezi kujitenga na wana MSOGA ft KIZIMKAZI.Nimeona pale juu eti kuna kesi alifunguliwa na Makamba halafu wakakaa pamoja wakayamaliza...
Wanajaribu kuficha ficha mambo ambayo yako wazi...
Huo mtandao kila mtu anaujua sasa hivi na huyo Mlawa alishika kipaza tu walioimba wanajulikana
Liko waziKigogo hawawezi kujitenga na wana MSOGA ft KIZIMKAZI.
Kheri yakeFatma karume amejikita ktk dini yake, ameamua kumtumikia muumba wake badala ya kumtumikia binaadam mwenziwe. Ila kigogo ni pasua kichwa
Yupo wapi musiba? Mwanaharati huru? Ahahahahaa. Nothing is permanentZito Kabwe
Ni Mfumo wa mafisadiHuyu jamaa ni nani...
Alikuwa Mtu, kikundi kilichouandamana utawala wa Magufuli na kuutetemesha...
Alipewa taarifa nyeti na nani kipindi hicho? maana taarifa nyingi alizotoa zilikua sahihi...
Kwanini yuko kimya katika utawala huu?
Je mambo aliyopigania yamepatikana? au hakuupenda tu utawala wa Magufuli!!
My take:
Kwa namna mtiririko wa matukio ulivyokwenda, naanza kuamini jina hili(Kigogo) lilimaanisha mtandao uliosukwa vizuri kuusurubu utawala wa Magufuli...
Na wahusika wa mtandao huu wanafaidika au kuwa na uhusiano wa moja kwa moja na utawala huu wa sasa au wa kabla ya Magufuli...
Na nashawishika kuamini kuna watu walitumika kumwangusha Magufuli kipindi hicho bila kujua dhamira halisi ya mtandao huu na sasa wamekufa au wanajuta.
Hakika mkuu...Ni Mfumo wa mafisadi
Itakuwa wanamtandao tuNi hujuma ya kiwango cha juu sana...
Swali linakuja..
Hujuma ile ilikuwa kwa maslahi ya nani?
Kigogo alikuwa MNAFIKI sana, aliweza kucheza na akili za wabongoKigogo alijisikia vibaya utawala wa Magufuli ulipohusika na mauaji ya watu kadhaa ila yuko kimya watanzania zaidi ya elfu kumi walipouawawa na kufukiwa kusikojulikana...
Kumbe!! Alikuwa anafanya kwa maslahi ya kundi lake sio kwaajili ya wananchiHilo ni Lipuuzi tu ,linaokoteza taarifa za mitandaoni na kuzipost ,halina linalojua.
Kigogo2014 kwasasa yupo TWITA tu na timu KIZIMKAZI.
Yeah alikuwa anafanya kwa maslahi BINAFSI baada ya Kuminywa na JPM.Kumbe!! Alikuwa anafanya kwa maslahi ya kundi lake sio kwaajili ya wananchi
Ni mshenzi kumbe!Yeah alikuwa anafanya kwa maslahi BINAFSI baada ya Kuminywa na JPM.
Juzi juzi hapa kaonekana kizimkazi msibani.Jamani Kinana ni nini kimempata! Ni mzima kweli? Mbona amepotea kabisa.
Huy ni feki.Na huyu sio yeye?View attachment 3679596
Interest za Kutaka Kiti kikuuKigogo = Jakaya and his cronies(January alikuwemo pia ila ni kama wamempiga kibuti)
Ni kweli, amemjua muumba baada ya magu kufaFatma karume amejikita ktk dini yake, ameamua kumtumikia muumba wake badala ya kumtumikia binaadam mwenziwe. Ila kigogo ni pasua kichwa
Yeah, Jakaya akiuangalia mchongo kwa mbali anaona January pamoja na kwamba amekuwa chawa wake kwa muda mrefu ila anaweza akawa ni kikwazo kwa Ridhiwani kwenye kugombania top spot.Interest za Kutaka Kiti kikuu
Ndo maana kizi mkazi anabadili viungo kila kukichaMzee wetu alikuwa circled na watu shamba Fulani Ile inner circle watu amewatoa Vyuoni Uko aliamini academic excellence Yao itasaidia kumbe Bana Siasa na Umjini Vinaenda pamoja
Mwisho alikuja Kukimbia Magogoni na Ku operate kutokea Chato muda Huo Bundi Alisha Anza kunusa harufu ya mzoga
Ni muhimu Mzee especially kama Umewahi kuwa sehemu ya Mchakato Fulani, Anaelewa kuwa kuwa keep too longer na wasaidizi ni very risk mana sifa kuu ya binadamu ni kushawishiwaNdo maana kizi mkazi anabadili viungo kila kukicha