Kigogo sio mtu wa kumuita Tundu Lissu mshamba, akemewe

TL mnamuoverate saana lakini bado sana upeo wake zaidi ya kuijua sheria kama taaluma yake na sio uwezo kiakili kwa maana ya uelewa wa nambo mengi kwa upana....Ni mtu anayeemdeshwa na mihemuko ile ile ya kiCDM na utoto wao..
 
Tutaziona kila aina ya rangi, yani leo mpasha habari wenu munamkataa!
Na bado.
 
Yes na kigogo kawaambia ukweli sahivi anaonekana mbaya!
Ila ndo ukweli! Mbowe ht mi kaniudhi,sikutegemea

Sent from my TECNO P701 using JamiiForums mobile app
 
Ndio usilalamike sasa kaa utulie ukatwe
 
Mwisho wa Kigogo umekaribia, sasa atakuwa anasubiri matukio tu yampandishe chati, ameanza kupoteza support aliyokuwa nayo mwanzo kwa haraka sana.
Watu kama kigogo ni wakupuuzwa tu, tuliwaambia muda mwingi kua huyu jamaa ni ndumila kilwi, mukatupinga, leo munaziona rangi kibao.
 
Njoo kanda ya ziwa uone kama huyo mnayemuita mamayenu kunamtu atampa kura ukiwatoa kina msukuma na 2025 ccm mnapigwa zaid ya tulivyomnyoosha magufuli huku kanda ya ziwa mpaka akapata aibu hata kutembelea
Yaani kanda ya ziwa kimeumana kweli

Watu hawataki kusikia chochote kuhusu kibibi hiki
 
Punguza hasira mkuu,ni kweli wamekosea!

Sent from my TECNO P701 using JamiiForums mobile app
 
Sijawahi kuona mahali popote uongozi wa Chadema ulipomsifia Samia anaupiga mwingi, kama una ushahidi niwekee hapa niuone, maneno ya pembeni (hasa mitandaoni) ya wanachama wa Chadema yasichukuliwe kama tamko rasmi la chama.

Wanachama wa Chadema ni wepi?

 
Umemwaga lawama tu kwa Mbowe na CDM. Hebu sasa baada ya kulaumu suggest wafanye nini ili kuendeleza harakati zenye kuleta mabadiliko.
 
Jamani kigogo hicho, nawaomba CDM mukikalie..........
 
Mkuu tumia akili wewe unapambana na dola yet unajipeleka kwenye mitego then umedakwa uko ndani hamna kinachoendelea badala ya kuwa smart kukwepa mitego unaendelea kulaumu kwa kutumia njia zile zile zilizo feli
Kukamatwa ni sehemu ya harakati za kisiasa. Ni aida kwa anayekamatwa historia imeprove hivyo
 
Tangu ajione eti yeye ndiye alifanya burnaboy kushinda tuzo ya bet badala ya sadala nilimuona nae kumbe ni overrated.
 
Njoo kanda ya ziwa uone kama huyo mnayemuita mamayenu kunamtu atampa kura ukiwatoa kina msukuma na 2025 ccm mnapigwa zaid ya tulivyomnyoosha magufuli huku kanda ya ziwa mpaka akapata aibu hata kutembelea
Kanda ya Ziwa ndiyo nini Bana?? Miaka 60 ya Uhuru imetoa Rais mmoja, usututishie nyau
 
Mimi najivunia kwamba niliiona hali hiyo ya kuharibikiwa kwa Chadema dhidi ya utawala wa Mama mapema sana. I saw it coming, baada ya kuanza kumkosea adabu Mheshimiwa rais, wananchi ndipo walipothibitisha kwamba hawa Chadema ni wahuni flani tu.

Na mama kwa busara alizonazo akaamua kuwapotezea kimya kimya sasa wanatapatapa tu
 
😄
 
Mbowe yupo jela hakuna cha maana kinacho endelea, yaani in kama vile alikuwa akipingania maslai yake na familia yake....

Watanzania bado hatujawa tayari kwa mabadiliko yoyote yale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…