IDEGENDA
JF-Expert Member
- Sep 15, 2013
- 4,505
- 5,343
Kigogo kipenzi chenu kawageukaSiamini unachokisema. Yaani Kigogo amseme vibaya Lissu? Hapana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kigogo kipenzi chenu kawageukaSiamini unachokisema. Yaani Kigogo amseme vibaya Lissu? Hapana.
Leo hiyo au hata kabla magu hajafa?Kigogo ni much know mmoja hivi hana adabu kwa kila mtu
Yes na kigogo kawaambia ukweli sahivi anaonekana mbaya!Umeandika ukweli sahihi mbowe siku zote alikuwaga na busara na hekima ila licha ya kusikilizwa na kuheshimiwa sijui mbowe ni kichaa gani kilimpanda na kutaka kumfanya Samia aonekane dhaifu ona sasa yuko jela pekee yake. CDM kwa Samia walitumia wrong approach kiasi mama hasikilizii yoyote na CDM itapotea wasipobadilika na kuendeleza harakati bila good calculations, sio siri napenda mabadiliko ila mbowe na CDM walikosa vision ya jinsi ya ku deal na Samia, nchi hii inahitaji upinzani makini usio na mihemko kusaidia taifa.
Ndio usilalamike sasa kaa utulie ukatweSijaona mtu wakulipambania Taifa hili
Nyote CCM &CDM nyote ni wahuni,wanafiki na mnaojali kupigania matumbo yenu
bora hata huyu ccm yeye anatafuna kuliko ninyi mkipewa mtatumeza kabisa[emoji23][emoji23][emoji23]
Unategemea Kigogo atafanya nini
mbowe sijui TL atafanya nn?
Njaa ni mbaya sana tena sana
Watu kama kigogo ni wakupuuzwa tu, tuliwaambia muda mwingi kua huyu jamaa ni ndumila kilwi, mukatupinga, leo munaziona rangi kibao.Mwisho wa Kigogo umekaribia, sasa atakuwa anasubiri matukio tu yampandishe chati, ameanza kupoteza support aliyokuwa nayo mwanzo kwa haraka sana.
Yaani kanda ya ziwa kimeumana kweliNjoo kanda ya ziwa uone kama huyo mnayemuita mamayenu kunamtu atampa kura ukiwatoa kina msukuma na 2025 ccm mnapigwa zaid ya tulivyomnyoosha magufuli huku kanda ya ziwa mpaka akapata aibu hata kutembelea
Punguza hasira mkuu,ni kweli wamekosea!Mpaka unajiuliza nini kimewapata hawa watu ambao kwa Mwendazake waliufyata miaka 5. Mwendazake kawapiga risasi, kavunja Bilicanas na kavunja na mashamba yake, kamchukulia na fedha kwenye akaunti. Hajawahi hata kulalamika.
Samia kamrudishia akaunti, kesi zao za kubambika zikapigwa chini pamoja na ya MDUDE. Halafu wao ndiyo wa kwanza kusema HATUWEZI KUMBEMBELEZA Samia. Shenz taipu Bladifakeni Mbowe
Sijawahi kuona mahali popote uongozi wa Chadema ulipomsifia Samia anaupiga mwingi, kama una ushahidi niwekee hapa niuone, maneno ya pembeni (hasa mitandaoni) ya wanachama wa Chadema yasichukuliwe kama tamko rasmi la chama.
Umemwaga lawama tu kwa Mbowe na CDM. Hebu sasa baada ya kulaumu suggest wafanye nini ili kuendeleza harakati zenye kuleta mabadiliko.Umeandika ukweli sahihi mbowe siku zote alikuwaga na busara na hekima ila licha ya kusikilizwa na kuheshimiwa sijui mbowe ni kichaa gani kilimpanda na kutaka kumfanya Samia aonekane dhaifu ona sasa yuko jela pekee yake. CDM kwa Samia walitumia wrong approach kiasi mama hasikilizii yoyote na CDM itapotea wasipobadilika na kuendeleza harakati bila good calculations, sio siri napenda mabadiliko ila mbowe na CDM walikosa vision ya jinsi ya ku deal na Samia, nchi hii inahitaji upinzani makini usio na mihemko kusaidia taifa.
Kukamatwa ni sehemu ya harakati za kisiasa. Ni aida kwa anayekamatwa historia imeprove hivyoMkuu tumia akili wewe unapambana na dola yet unajipeleka kwenye mitego then umedakwa uko ndani hamna kinachoendelea badala ya kuwa smart kukwepa mitego unaendelea kulaumu kwa kutumia njia zile zile zilizo feli
Kanda ya Ziwa ndiyo nini Bana?? Miaka 60 ya Uhuru imetoa Rais mmoja, usututishie nyauNjoo kanda ya ziwa uone kama huyo mnayemuita mamayenu kunamtu atampa kura ukiwatoa kina msukuma na 2025 ccm mnapigwa zaid ya tulivyomnyoosha magufuli huku kanda ya ziwa mpaka akapata aibu hata kutembelea
Mimi najivunia kwamba niliiona hali hiyo ya kuharibikiwa kwa Chadema dhidi ya utawala wa Mama mapema sana. I saw it coming, baada ya kuanza kumkosea adabu Mheshimiwa rais, wananchi ndipo walipothibitisha kwamba hawa Chadema ni wahuni flani tu.Mpaka unajiuliza nini kimewapata hawa watu ambao kwa Mwendazake waliufyata miaka 5. Mwendazake kawapiga risasi, kavunja Bilicanas na kavunja na mashamba yake, kamchukulia na fedha kwenye akaunti. Hajawahi hata kulalamika.
Samia kamrudishia akaunti, kesi zao za kubambika zikapigwa chini pamoja na ya MDUDE. Halafu wao ndiyo wa kwanza kusema HATUWEZI KUMBEMBELEZA Samia. Shenz taipu Bladifakeni Mbowe
😄..CCM hata wabembelezwe vipi lazima watakuja na sababu za kuwadhulumu Chadema, na vyama vingine vya upinzani.
..ni bahati mbaya sana kwamba wamezoea siasa za hila na dhuluma, na hawawezi kabisa kupambana kwa hoja.
..Rais SSH alishaonyesha dalili za muelekeo mbaya alipoanza kudai wapinzani wamchukulie kama mama yao mzazi, na alipoita wale wasiokubaliana naye waleta chokochoko.
..yeyote asiyekubaliana na CCM huwa hajibiwi kwa hoja, bali hupewa jina baya kama, msaliti, mchochezi, au mleta chokochoko, ili ashughulikiwe na Polisi na Mahakama zinazoamrishwa na CCM.
Siamini unachokisema. Yaani Kigogo amseme vibaya Lissu? Hapana.