Yap ndo moja ya mbinu zao...ili wapate huruma kwa raia...Kuna mtu alitahadharisha kule kwenye uzi wake wa kujenga masjid isije kuwa fedhwa ya sembe naona yametimia.Sijui kwanini mabaradhuri wengi hujifanya watu wema!
Yap nakumbuka hiyo shughuli, yani hiyo party siku nimeiona tu zile picha nikasema hii familia lazma ni drug dealersBabake na Faiza Kanyau.
Aliedondosha sherehe na party za harusi ambazo hazijavunjwa record East anf Central Africa.
mrangi
Saudi kanyau muuzaji wa ngada kitambo sanatorium! Alishawahi kufungwa Pakistan miaka ya nyumaaa!huko ndiko alipata connection na mapaka (wapakistan)hadi naye akawa anapokea unga makilo na makilo hapa tz
Kuna dci mmoja mstaafu alikuwa anamlindaga sana ktk biashara ....
Lkn ktk kipindi hiking aliyumba kibiashara hadi kuuza nyumba zake baadhi kutokana na madeni kutokana nje aliyokuwa nayo
Daudi kawaweka bondi watz kibaoo
Ovaaaaa
Mkuu kanyau ameshikiliwa yuko police Ana kama wiki moja hivi
...hilo pozi la pua veeeepeeee!??..mbona kama unaskia harufu ya mav.i!wakamatweeeeeeeeee hawa wanatuulia nguvu kazi ya taifa letu wanaua vijana ni wauwaji na sheria kali ziwekwe maana kesi za ngada huwa zinayeyukaga wanaishia kuwakaba mateja ilhali dealers wanakula shushu
...umependeza mwenyewe..,kama Mwalimu wa Mwandiko!Kigogo gani huyo tupeni habari kamili
Teh!Teh!Teh!Huu ni uchochezi mods pigeni ban mtu huyu.Wanamuonea tu kwa sababu ya imani yake. Tuandameni
Vipi yule mmililki wa meli iliyokamatwa na meno ya tembo huko ughaibuni hajashughulikiwa?Ni DAUDI KANYAU. Mali zake zashikiliwa.
hivi bado hujaolewa tu? maana nasikia huko kwenu hata wanaume huolewa na wanaume wenzake tena ndoa ikifungiwa kwenye nyumba za ibada na vigelegele.mijitu hii bana inavaa mikanzu kinafiki kuficha ufirauni wao,dawa yao risasi tu halafu polisi wanasema aligoma kukamatwa na kujibizana na bastola
Kweli mla huliwa, naye anabeba?1 pesa makaratasi.Ngoja tufukue kaburi hili...
Kwa sasa Yuko kwa madiba anafanywa true punda Aise...
Ova
Pesa za poda huwa zinarudigi kihivyoKweli mla huliwa, naye anabeba?1 pesa makaratasi.