Kigogo2014 lazima awe mtu wa maana

Hahahah!! Kinachofanyika sasa hivi ni mashambulizi ya kushtukiza. Yaani unatokea gafla unamshambulia adui then unapotea...
 
Basi tu mama hajawakera aidha wanamuunga mkono, kama magufuli walimshindwa na alikuwa kaimiliki serekali 100% na kakaa madarakani zaidi ya miaka 5, sembuse mama hata mwezi hajamaliza madarakani mnaanza kusema kawamudu!
 
💃💃💃💃💃💃
 
Bashiru hayumo, Bashiru anaandaliwa wizara fulani kwaajili ya season tu ya vigogo

Kwa hiyo leo Bashiri atalala usingizi mnono sana eeh?

Jaffo, Kabundi, yule wa TPA, na yule paymaster pia?

Umepata cha afande selemani nini mkuu?
 
Basi tu mama hajawakera aidha wanamuunga mkono, kama magufuli walimshindwa na alikuwa kaimiliki serekali 100% na kakaa madarakani zaidi ya miaka 5, sembuse mama hata mwezi hajamaliza madarakani mnaanza kusema kawamudu!
Kawamudu, itakuwa mfumo wa wahusika huo wamenadilishiwa vituo vya kazi...kwisha hbr

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku wakiteuliwa msije kulialia, Mmetangulizwa tu maana saivi wakiwekwa kelele zitakuwa kubwa.
 
Lile dokezo la afande ndo matokeo yake haya. Password na nywira za mafaili ya siri ni ngumu kusambaaa
Sidhani! Nafikiri rais aliyepita alikuwa na chawa wanaomgeuka na kutoa siri. Mama hana hai na mambo yake sio ya kupayuka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…