Kigogo2014 lazima awe mtu wa maana

Kigogo2014 lazima awe mtu wa maana

Mawaziri wote wasiopendwa na Ufipa wamebaki kwanini lakini?
 
Huyo jamaa nashindwa kumtathmini, anaandika muda wote.

Tusiwasingizie watu kama hatuna uhakika nao.

Unamtaja mtu kwa ishara ya sura na umbo ambalo kila mwelewa anajua unamlenga mtu furani.

Vipi kama sio yeye?

Msiwe na tabia za kuchafua watu bila kuwa na uhakika.

Mnawaweka katika mazingira ya kuchukiwa na kuweza kukosa haki zao za msingi.

Hakuna cha Fasihi wala nini hapo.

Uwezo wa kuchambua wa mtoa mada ni wa kiwango cha chini sana.
 
Mwenye video wakati nape anatumbukiza karatasi ya kura kuthibisha Dk Mpango anakuwa makamu wa Rais anitumie, sikuona hcho kioande Sasa ndo nataka nikione
 
Whistleblower wetu maarufu ambae hutupatia zile news zenyewe za chini ya kapeti ndugu Kigogo au Bwana fulani, na kwa jinsi Watanzania tunavyopenda habari fukunyuzi, katika kipengele hicho ametukosha wengi. Kwenye udaku tunao wakina Shilawadu au Carrymastory ila kwenye siasa hana mpinzani ingawa Jasusi Chahali anajitahidi kuja ila Kigogo ana influence kubwa zaidi huko Twitani hasa kipindi cha utawala wa Mwendazake.

Kama ilivyo kawaida ya habari za chini ya kapeti kuna muda anapatia na kuna muda anakosea ambako kunatokana kutopata right information from the beginning au wahusika kubadili jambo husika baada ya kujua taarifa za awali zimeshavuja. Amekua akipigania utawala bora, freedom of speech na matumizi ya mabavu na kumtangaza Mwendazake kama adui yake kutokana na hayo.

Ila kama umemfuatilia vizuri Kigogo nae ana weakness hiyo hiyo ni mtu anaependa praises tu just like Mwendazake, na ukimchallenge kwa namna yoyote ile unakua adui yake kwa siku hiyo atakushambulia kwa kila aina ya shambulizi.

Alichokosa yeye ni mamlaka tu ila kama angekua nayo huenda angefanya yale yale ya Mwendazake kuwanyamazisha wakosoaji wake kwa namna yoyote ile.​
 
Hivi naomba nikuulize swali!

Kati ya kigogo na waandishi wa habari nani mwenye kutoa taarifa latest na za kuaminika? Kwa sababu wanahabari walishafungwa midomo so hakuna mtu ana kazi nao kwa sasa
 
Hivi naomba nikuulize swali!
Kati ya kigogo na waandishi wa habari Nani mwenye kutoa taarifa latest na za kuaminika? Kwa sababu wanahabari walishafungwa midomo so hakuna mtu ana kazi nao kwa sasa
Waandishi wa habari hao usiwataje kabisa hamna kitu kabisa
 
Whistleblower wetu maarufu ambae hutupatia zile news zenyewe za chini ya kapeti ndugu Kigogo au Bwana fulani, na kwa jinsi Watanzania tunavyopenda habari fukunyuzi, katika kipengele hicho ametukosha wengi...​
Kwahiyo Kigogo sio taasisi? Kama Kigogo ni taasisi, iweje watu wengi wawe na sifa za mtu mmoja?
 
Ukimsoma kigogo unaweza ukagundua ni mtu wa tabia gani, mambo anayoyafurahia, anayoyachukia yapo wazi kabisa na huenda tunamfahamu sema hatujui tu kuwa flani tunayemjua ndiyo Kigogo mwenyewe.

Tukimtafuta mtu anayefurahia na mwenye tabia zinazoendana na Kigogo mbona anajulikana tu, isipokuwa ujanja wake ni kupata ushahidi wa kuthibitia kuwa fulani ndiyo kigogo mwenyewe hapo ndo pagumu kwa security aliyojiwekea kimtandao ila kujulikana sio ngumu, ugumu ni ushahidi wa kumthibitisha kuwa ni yeye.
 
Back
Top Bottom