Kigogo2014 lazima awe mtu wa maana



Sikuwa najua haya Mkuu
 
Wiki yote hii wamemtandika vizuri kule Twitter bila kukwepesha. Umaarufu wake KWISHNEY. Ngoja tuone juhudi zake za kubaki relevant katika mapambano ya kulikomboa Taifa letu kutoka kwa genge la wahuni la maccm.

Saivi tunamuoma takataka kama alivyokuwa anaona wengine
 
KEY WORD "Pasiwe na kikao chochote kumjadili huyo kigogo kwani uwepo wa kikao ni kumualika Kigogo mwenyewe"
 
Kaka March, mbunge wa udaga pamoja Portuguese explorer 😀
 
NILIWAI KUSHUHUDIA WATU WANASHUSHA PERSONALITIES ZAO LAKIN WA KUMFIKIA KIGOGO SIJAWAI ONA! Hata wa kulewa ukwen na kujinyea hawez kupoteza hadh yake kwa kasi hii.
 
Kun Kuna dalili zinaonyesha kuwa Kigogo ni wewe.
 
Kigogo atakuwa ni kijana mmoja mjinga, probably ametokea kanda ya a ziwa, umri wake ni miaka 34- 40. Ameishi Dar au bado anaishi Dar. Anapenda sifa na ana akili ya haraka haraka,ndo maana sio ajabu kuona post zake nyingi amekosea spelling. Kuna watu walikuwa wanampa information lakin wamegundulika na kufyekelewa mbali, ndo maana sasaiv hana mpya. Anapenda attention ya juu.Anajiona ana akili mingi lakin ni mjinga tu
 


Kigogo hayupo DAR Mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…