Johnny Impact
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 5,502
- 9,070
Mkuu, nashukuru kwa maoni yako, sijanunua kesi, ila nimejaribu kuchora picha tuu
Mkuu season ya 5 ya money heist ishatoka?
Mkuu season ya 5 ya money heist ishatoka?
Um
umepatia 89%
Kwa Afrika, akipatikana ni kifo; Kwa dunia ya Kwanza, analindwa, kuheshimiwa, na kutumia utaalam alionao.
Unaweza kuta huyu aloandika ndo kigogo mwenyewe
Kigogo ni mtu mmoja mwenye akili kuliko watanzania wote na hilo ame prove.
Mara paaah kigogo ni Diamond Platnumz
Sasa jibu unalo hapa unatafuta nini unataka INFO ya bure ,hakuna toa Fedha hizo upatiwe info bure kafaa πππSerikali sio kwamba haipo serious bali tatizo linaweza kuwa adui yumo kwenye mfumo na hawamjui. Unajua ni rahisi kumjua adui wa nje kuliko adui wa ndani?
Bro. Dont step the lineThis is a very serious allegation coming out from a person of KIGOGO"S stature!!! Ndio maana wale members original wa JF wengi wamesepa kwa kuogopa kuuzwa na wakina Max? Are you making an inference that Max knows Kigogo?
Huna uwezo wowote ule wa kuwafundisha TISS mambo ya intelijensia NARUDIA HUNA!
Yaaani wanajua kuliko unavyojua
Sasa jibu unalo hapa unatafuta nini unataka INFO ya bure ,hakuna toa Fedha hizo upatiwe info bure kafaa πππ
Sema shutuma dhidi ya Kabudi ni nomaa... Yani kama ni kweli ni hatari.
Au ulilenga hapa JF
Kuna siku Kwenye Daladala, kuna dada mmoja alikuwa anaongea sana,Lile tangazo halikupostiwa wakati sahihi kabisa, ni kumpa promo kigogo wakati huku mtaani watu hata hawajawahi kusikia habari zake
Eee Bwana Weee hiii mbona unanipa shockThis is a very serious allegation coming out from a person of KIGOGO"S stature!!! Ndio maana wale members original wa JF wengi wamesepa kwa kuogopa kuuzwa na wakina Max? Are you making an inference that Max knows Kigogo?
Serikali ilihisi huyo Kigogo ni Zitto, wakamtwka yuke mkenya Raphael akiyekuwa msaidizi wa Zitto akawapa mpaka password zake.Serikali kama wanamtafuta huyo Kigogo basi wamfuate Zitto awape Ushahidi wa huyo aliyentaja kuwa ndiye mbaya wao!
Kigogo anaonekana ni introvert. Siyo mtu mwenye kundi kubwa la watu.Chachali hawapatani
Ma snitch haoKigogo anaonekana ni introvert. Siyo mtu mwenye kundi kubwa la watu.
Kina Chahali, Goodluck haule wite inaonekana huwa wanamfuta inbox kumpelekeza.
Wote kawachana na haelewani nao.
Kumbe na wewe 'unalima bamia' kama ndg yetu Yeriko aliyeponea chupuchupu kusukumizwa korokoroni na sheria kandamizi.kilimo changu cha bamia