Kigoma: Kisa mgogoro wa ardhi, Kanisa Katoliki laishitaki CCM Mahakamani

Itakuwa upande mmoja umeshupaza shingo ndiyo maana wamefika huku.

BTW: Hilo Baraza la wadhamini na uongozi mzima wa CCM mkoani Kigoma majina yakitajwa italeta picha ya mgogoro wa kidini lazima.

Wanaweza kuwa maustadhi watupu.
 
Wagalatia utawatafuta kwa tochi
 
Yule angelina mabula waziri wa ardhi ni mfaidika wa kanisa. Ameshakula fedha za caritas sana!
 
Mshasema tangu 1920. More than 99 years lease.
Hiyo ardhi washamaliza lease. Back to the Government.
Je kama walipata hati mpya miaka ya hivi karibuni? Kusema kuwa wamemiliki tangu 1920 ni kuonyesha kuwa wana historia na umiliki wa eneo hilo.Hawajaenda Mahakamani hivi hivi tu.
 
tanzania hatuna shida ya ardhi lkn maccm yamezoea rushwa,wizi,uporaji wa mali za watu bila hata kufuata taratibu.Uvinza kuna maeneo makubwa ambayo ni mapori kuanzia kazuramimbba mpaka kibaoni ni mapori matupu iweje sasa wapore eneo la kanisa!
 
Hii kesi nitapenda niifatilie mpaka mwisho

Make inafrahisha

R.C ni wababe

CCM ni wababe pia

Acha tuone huu mtifuano
 
Yaani CCM wakaombe wajenge ya muda baada ya kukaribishwa tu pale wakajifanya kuleta utapeli kwa kutangaza kuwa ni eneo lao kisa wamejenga shule.
Good thing wenzao wana documents zote za kuwakaribisha na kila hatua
 
Mshasema tangu 1920. More than 99 years lease.
Hiyo ardhi washamaliza lease. Back to the Government.
Kumbuka baada ya Uhuru kila kitu kilianza upya, hivyo unapofanya hesabu zako isiwe minus 1920, bali iwe 1961 sawa?
 
Ni aibu kubwa sana kwa CCM, mwenyekiti wake na Rais wa nchi hili jambo hapo lilipo linabaraka zote za Vatican. Na CCM inatumika kwa Kivuli cha wivu wa waislamu dhidi ya kanisa katoliki.
Kanisa mbele ya Waziri mabula walishalalamikia hili, lakini serikali ikashupaza shingo.
 
Duh inapendeza πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Ni aibu kubwa sana kwa CCM, mwenyekiti wake na Rais wa nchi hili jambo hapo lilipo linabaraka zote za Vatican. Na CCM inatumika kwa Kivuli cha wivu wa waislamu dhidi ya kanisa katoliki.
Kuzungumza hivi unaonyesha ujinga wako. Iwapo Ardhi haikutumika kwa miaka yote hiyo, na akaja mtu kuiendeleza kwa manufaa ya wananchi , tena ili watoto wao wapate madarasa mazuri ya kuongeza na kustawisha maisha yao, kosa liko wapi au nani ndiye asiyependa mazuri kwa wananchi. Hapa serekali haikuleta udini bali ni hao viongozi wa hilo kanisa ndio wanaoleta udini na mfarakano. Bora waelewane na ahule ijengwe, na sidhani serekali inahitaji ekari zote hizo.
 
Huijui Kigoma vizuri CCM imetumika tu na walijipanga Kwa mtego huo.
 
Kwanini rais akiwa mwislamu hizi chokochoko dhidi ya wakristu hujitokeza mara kwa mara
 
Shetani hamwogopagi Mungu
 
Je kama walipata hati mpya miaka ya hivi karibuni? Kusema kuwa wamemiliki tangu 1920 ni kuonyesha kuwa wana historia na umiliki wa eneo hilo.Hawajaenda Mahakamani hivi hivi tu.
Kwa hiyo unafikiri serikali imelichukua hilo eneo hivihivi tu?
 
Hii case nina wasi wasi haihusishi tu chama. Inawezekana kuna kitu zaidi. Kanisa katoliki watu wazito
ccm wanajiona serikali

Mimi nasubiri kuona mshindi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…