Mabula Msirikale
JF-Expert Member
- Nov 29, 2022
- 657
- 1,540
Kanisa lilifanya kosa kubwa kuwakaribisha CCM wafanye Shughuli zao kwa muda.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huwezi waingiza mkenge kanisa katoliki kirahisi hivyo. Usidhani hawajui sheria na hawazifuatiMshasema tangu 1920. More than 99 years lease.
Hiyo ardhi washamaliza lease. Back to the Government.
Mbona wameshakalishwa kesi nyingi tu.Huwezi waingiza mkenge kanisa katoliki kirahisi hivyo. Usidhani hawajui sheria na hawazifuati
Kama ipi na ipi?Mbona wameshakalishwa kesi nyingi tu.
Sijawahi ona Tanzania imeshinda kesi yoyote kimataifa ikishtakiwa. Kanisa linashinda kesi nyingi kuliko serikaliMbona wameshakalishwa kesi nyingi tu.
Hii kesi nitapenda niifatilie mpaka mwisho
Make inafrahisha
R.C ni wababe
CCM ni wababe pia
Acha tuone huu mtifuano