Kigoma: Kisa mgogoro wa ardhi, Kanisa Katoliki laishitaki CCM Mahakamani

Mshasema tangu 1920. More than 99 years lease.
Hiyo ardhi washamaliza lease. Back to the Government.
Huwezi waingiza mkenge kanisa katoliki kirahisi hivyo. Usidhani hawajui sheria na hawazifuati
 
Hii kesi nitapenda niifatilie mpaka mwisho

Make inafrahisha


R.C ni wababe

CCM ni wababe pia


Acha tuone huu mtifuano

Ccm wajinga na vilaza wengi,wanaotegemea mbeleko za mahakama dhaifu. Kanisa lina watu smart na wasomi na ni empire.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…