parolko tarantura
Senior Member
- Mar 28, 2023
- 149
- 243
Mhasibu wa mchongo,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawezi kujaMhasibu njoo unaitwa huku[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Limefukuliwa .....Mkuu Huwa haujifunzi tu Kwa nyuzi zako za aina hii[emoji848][emoji848][emoji848]??
Mara zote zimekuwa zikikuumbua na ushahidi upo humu jukwaa..
Muda ni mwalimu mzuri tutakuja kufukua hili kaburi
🥲Mkuu Huwa haujifunzi tu Kwa nyuzi zako za aina hii[emoji848][emoji848][emoji848]??
Mara zote zimekuwa zikikuumbua na ushahidi upo humu jukwaa..
Muda ni mwalimu mzuri tutakuja kufukua hili kaburi
Njoo huku urudie hesabu zako za kiwakiUzuri wa huu mchezo unafanyika hadharani kila mtu anaona, nani kifaa nani garasa. Aziz Ki ni mbovu, hana dhanani ya milioni 400. Kifupi Yanga wameingia hasara ya milioni 400, yale ni manunuzi ya mchezaji yasiyo na tija.
Hii hasara inatakiwa kuonekana kwenye vitabu vya Yanga mwisho wa mwaka kama ifuatavyo;
Wakati wa usajili
Dr: Registration fee 400m
Cr: Bank 400m
Baada ya kugundua wamepigwa
Dr. Registration 400m
Cr: Provision of Loss 400m
Mwisho wa Mwaka hiyo loss inaonekana kwenye Profit & Loss Account
Unaonaga mbali mzeeMkuu Huwa haujifunzi tu Kwa nyuzi zako za aina hii[emoji848][emoji848][emoji848]??
Mara zote zimekuwa zikikuumbua na ushahidi upo humu jukwaa..
Muda ni mwalimu mzuri tutakuja kufukua hili kaburi
Mtoa mada anachoweza ni kumsifia tu bosi wake. Nje ya hapo hajawahi kupatia kitu chochote.Vile mleta uzi dundukaz jinsi anavyonitazama vile ninavyouendesha huu uzi..View attachment 2616909
Cc : Shadeeya Tate Mkuu Greatest Of All Time ukikaidi utapigwa2 Dr Matola PhD Kilimbatz Prince Kunta
Boss wake analalamika anapata hasara mhasibu yupo nyumba ya jiraniMtoa mada anachoweza ni kumsifia tu bosi wake. Nje ya hapo hajawahi kupatia kitu chochote.
Msimu ujao wampe mikoba ndugu mhasibu kuepuka klabu kuendeshwa kihasara.Boss wake analalamika anapata hasara mhasibu yupo nyumba ya jirani