Kihasibu: Hasara ya Milioni 400 usajili wa Aziz Ki kwenda Yanga

Kihasibu: Hasara ya Milioni 400 usajili wa Aziz Ki kwenda Yanga

Huo uhasibu umeshindwa kumfanyia boss wa ma mbumbumbu asipate hasara umekimbilia hela za wanaume wenzako
 
Uzuri wa huu mchezo unafanyika hadharani kila mtu anaona, nani kifaa nani garasa. Aziz Ki ni mbovu, hana dhanani ya milioni 400. Kifupi Yanga wameingia hasara ya milioni 400, yale ni manunuzi ya mchezaji yasiyo na tija.

Hii hasara inatakiwa kuonekana kwenye vitabu vya Yanga mwisho wa mwaka kama ifuatavyo;

Wakati wa usajili
Dr: Registration fee 400m
Cr: Bank 400m

Baada ya kugundua wamepigwa
Dr. Registration 400m
Cr: Provision of Loss 400m

Mwisho wa Mwaka hiyo loss inaonekana kwenye Profit & Loss Account
Naomba unionyeshe ushahidi kama thamani ni 400m wapi wameandika ama kiongozi Gani wa yanga kasema usajiri ni 400
 
Nelson Okwa
Augustine Okrah
Habib Kyombo
Nassor Kapama
Mohamed Outarra
Ismail Sawadogo
Victor Akpan

Hao wote ni mizigo tu lakini kuna mtu anawashwa kuja kuisema Yanga na usajili wa Aziz. Anza na hao kwanza kenyamkela wewe
 
Nelson Okwa
Augustine Okrah
Habib Kyombo
Nassor Kapama
Mohamed Outarra
Ismail Sawadogo
Victor Akpan

Hao wote ni mizigo tu lakini kuna mtu anawashwa kuja kuisema Yanga na usajili wa Aziz. Anza na hao kwanza kenyamkela wewe
Upo sahihi, haya rudi sasa kwenye mada
 
Kama mwaka jana hamkuweka hiyo hasara basi mwaka muiweke. Hii hasara ni kubwa sana
 
Back
Top Bottom