Kihasibu: Hasara ya Milioni 400 usajili wa Aziz Ki kwenda Yanga

Kwani si ulisema Aziz Ki angesajiliwa Simba?
 
Kwani si ulisema Aziz Ki angesajiliwa Simba?
 
Mkuu Huwa haujifunzi tu Kwa nyuzi zako za aina hii[emoji848][emoji848][emoji848]??
Mara zote zimekuwa zikikuumbua na ushahidi upo humu jukwaa..
Muda ni mwalimu mzuri tutakuja kufukua hili kaburi
 
Yanga Sc usajili wao ulikuwa ni kwa ajili ya kampeni na hilo limekwishajidhihirisha.
 
Huu uzi nilikuwa nautafuta sana leo na ule wa takwimu Kibu D Vs Mayele πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Jamaa amefunga profile lake kwa kuona nyuzi za zinafukuliwa sana nyakati kama hizi ,kwa vile nimesomea Cuba sikukata tamaa nimetumia mbinu za kijasusi kufukua japo haikuwa rahisi nimetumia kama dakika kumi mpaka kuipata.

Sasa hivi nalaaa vizuri nishaweka nukta hapa Kesho panapo majaaliwa nitauamkia kirahisi sana.

πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚


Tate Mkuu ukikaidi utapigwa2
 
Ngoja niweke comment ya mwisho niende kwenye uzi wa kula kimasihara πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜†πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜†
#Nimemaliza
 
Sisis wenye team ndo tunaejua umuhimu wa aziz ki hebu tuachie my wetu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Sio mara zote kuanza biashara leo na kuanza kupata faida papo kwa hapo. Wakati mwingine huchukua muda wa kutosha ili kuanza kupata faida ya uwekezaji. Hivyo faida za kimataifa sh. milioni 400 za usajili wa Aziz Ki zimeanza kulipa leo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…