Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
Hasibu Kama hasibu😂🤓
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hasibu Kama hasibu😂🤓
Hasibu international 😂😂🤣Kumbukumbu : mara ya mwisho Mhasibu kujitokezaView attachment 2790915
Ndo Mana kwenye vitu vya takwimu, sipendagi kusema kabla😂😂😂Hivi huyu mhasibu wetu alisoma chuo gani? GPA yake ilikuwaje? 😁😁🏃🏿♂️
Muhasibu wa daslam🤣😂Kumbe mwenyewe n mtoto wa town
Ooh mara hautofunga tutakuona 😅
Kajifanya boya kutupiga sound
Neeenga, Pararapa pa rira papariraa papaaa
Perepepee rire pepe rire pepee
Ameyatimba 😂😂 aaa
Hasibu la mchongo azizi anajua mpaka anajua tena.Muhasibu wa daslam🤣😂
Hasibu la viwango vibovu, taasisi lazima ife.Hasibu lililosomea chini ya mwembe😂😂
Hahahahaha..hiyo taasisi anayoifanyia uhasibu inapata hasara tuHasibu la viwango vibovu, taasisi lazima ife.
Tena hasara kubwa kubwa 😂Hahahahaha..hiyo taasisi anayoifanyia uhasibu inapata hasara tu
Mkuu kuwa na heshima kwa messi na Pele.Maradona mwamba kuliko mchezaji yoyote hata mesi au pele hawana ubavu alikosa penati .
Roberto baggio alikosa ,wajerumani walikosa , zidane alishakosa , bado kukosa kwa aziz ki hakupunguzi ubora wake, jana alifunga goli la ushindi bahasha na ukubwa wa motsepe vikageuza matokeo!
Aiseee😂😂😂😂hili tusi nimelipenda.Kyuma nyockle mwasibu
Mashabiki wa Yanga mitandaoni wakiamua kukuandama wanakuandama. Hata Mayele yalimkuta aliposema katupiwa majini. Labda itapungua Aziz K akiondoka Yanga.Aisee hii thread inamtesa mno OKW BOBAN SUNZU , kungekua na option ya ku delete threads angeshaifuta hii kitambo. Its a pain in the ass that will haunt him as long as this thread lives.
Hasibu Hana maono kabisa😂, aki ambiwa atazame biashara ita kuwaje ana ongea utumbo tu😂😂Tena hasara kubwa kubwa 😂
Mhasibu kwenye forecasting ni bure kabisa .