fundi bishoo
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 14,264
- 27,132
yaani kila mwaka azizi akiwafunga simba huu uzi unafufuliwa 😂😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haez tokea kamweAtakye mleta humu Mwasibu humu nampa jero ya vocha.
Mission: Mchokoze Mwasibu mtag mpaka atoke mafichoni
Challenge accepted
Let's go
Cc : Shadeeya Intelligent businessman
Kumbukumbu : Huu Uzi ulikuwa upotee ila Mimi niliusave na kuufufua siku ya Yanga alipompiga Club African goli pekee la Azizi Ki likaioeleka Yanga hatua inayofuata , hapo spana zikaanza rasmi mfululizo bila kuchoka mpaka Leo.
TusaMehe tajiriKumbukumbu : Huu Uzi ulikuwa upotee ila Mimi niliusave na kuufufua siku ya Yanga alipompiga Club African goli pekee la Azizi Ki likaioeleka Yanga hatua inayofuata , hapo spana zikaanza rasmi mfululizo bila kuchoka mpaka Leo.
Hongera sana utani uendelee, ndiyo maana ligi ya bongo ni miongoni mwa ligi bora kwasababu ya ushabiki wa kweliKumbukumbu : Huu Uzi ulikuwa upotee ila Mimi niliusave na kuufufua siku ya Yanga alipompiga Club African goli pekee la Azizi Ki likaioeleka Yanga hatua inayofuata , hapo spana zikaanza rasmi mfululizo bila kuchoka mpaka Leo.
Hasibu la daslam 😁😂😂Atakye mleta humu Mwasibu humu nampa jero ya vocha.
Mission: Mchokoze Mwasibu mtag mpaka atoke mafichoni
Challenge accepted
Let's go
Cc : Shadeeya Intelligent businessman
Hi hater!Amna kitu pale kama ameshindwa kufunga hadi mechi ya jana tutegemee nini?
Anawapa wakati mgumu mashabiki wa Uto kujaribu kumuelezea kuwa ni mzuri lakini kila mechi anayocheza anawa prove wrong
Ile mechi ya pre season walioshinda goli 9 haina utofauti na ya jana lakini mwana bado kashindwa kutumia fursa.
Safi sanaKumbukumbu : Huu Uzi ulikuwa upotee ila Mimi niliusave na kuufufua siku ya Yanga alipompiga Club African goli pekee la Azizi Ki likaioeleka Yanga hatua inayofuata , hapo spana zikaanza rasmi mfululizo bila kuchoka mpaka Leo.
😅😅😅
Umefanya kazi ya kitume kaka....Utalipwa mbinguni.Kumbukumbu : Huu Uzi ulikuwa upotee ila Mimi niliusave na kuufufua siku ya Yanga alipompiga Club African goli pekee la Azizi Ki likaioeleka Yanga hatua inayofuata , hapo spana zikaanza rasmi mfululizo bila kuchoka mpaka Leo.
Ndo kukomaa huko. Akipita hapa anakuwa kajifunza kitu kikubwa mno na atakuwa tofauti na ambaye hajawahi kusemwa. Tena ingekuwa si fake Id ingemkomaza zaidi. Binafsi ningekuwa ni yeye ningekuwa naingia kujibu watu humu. Nisingekimbia.Hivi haiwezekani kufuta uzi JF?[emoji1787][emoji1787] jamaa anadhalilika kinoma
Hahahahaha..khaMtu atakae tunga sentesi nzuri yenye neno muhasibu,azizi k nzuri natoa 10000
Challenge accepted
Lets go
HahahahahaYani kiuhasibu Jf walicheza pere sana kutoruhusu mtu kufata alicho kiandika hasa kwa thread!
Jamaa anatamani asingeliandika hii thread hahahaha
Hahahahaha..maana halisi ya kuyatimbaHivi haiwezekani kufuta uzi JF?[emoji1787][emoji1787] jamaa anadhalilika kinoma
😀😀😀Atakye mleta humu Mwasibu humu nampa jero ya vocha.
Mission: Mchokoze Mwasibu mtag mpaka atoke mafichoni
Challenge accepted
Let's go
Cc : Shadeeya Intelligent businessman