Kihasibu: Hasara ya Milioni 400 usajili wa Aziz Ki kwenda Yanga

Kihasibu: Hasara ya Milioni 400 usajili wa Aziz Ki kwenda Yanga

Kumbukumbu : Huu Uzi ulikuwa upotee ila Mimi niliusave na kuufufua siku ya Yanga alipompiga Club African goli pekee la Azizi Ki likaioeleka Yanga hatua inayofuata , hapo spana zikaanza rasmi mfululizo bila kuchoka mpaka Leo.

TusaMehe tajiri
Sasa tuko pamoja🙏🏻
 
Kumbukumbu : Huu Uzi ulikuwa upotee ila Mimi niliusave na kuufufua siku ya Yanga alipompiga Club African goli pekee la Azizi Ki likaioeleka Yanga hatua inayofuata , hapo spana zikaanza rasmi mfululizo bila kuchoka mpaka Leo.
Hongera sana utani uendelee, ndiyo maana ligi ya bongo ni miongoni mwa ligi bora kwasababu ya ushabiki wa kweli
 
Amna kitu pale kama ameshindwa kufunga hadi mechi ya jana tutegemee nini?

Anawapa wakati mgumu mashabiki wa Uto kujaribu kumuelezea kuwa ni mzuri lakini kila mechi anayocheza anawa prove wrong

Ile mechi ya pre season walioshinda goli 9 haina utofauti na ya jana lakini mwana bado kashindwa kutumia fursa.
Hi hater!
 
Updates kutoka mafichoni : Mwasibu wetu sasa amekuwa Ndama.
IMG_20240421_082855.jpg

Cc : Tate Mkuu
 
Hivi haiwezekani kufuta uzi JF?[emoji1787][emoji1787] jamaa anadhalilika kinoma
Ndo kukomaa huko. Akipita hapa anakuwa kajifunza kitu kikubwa mno na atakuwa tofauti na ambaye hajawahi kusemwa. Tena ingekuwa si fake Id ingemkomaza zaidi. Binafsi ningekuwa ni yeye ningekuwa naingia kujibu watu humu. Nisingekimbia.
 
Back
Top Bottom