Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Hahahaaa. Lol.Dada yangu samahani sana
Nadhani mimi na wewe tunaheshimiana sana
Tafadhali,tafadhali yaani tafadhali sana
Nkichukia hua nauwa kabisa๐๐
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaa. Lol.Dada yangu samahani sana
Nadhani mimi na wewe tunaheshimiana sana
Tafadhali,tafadhali yaani tafadhali sana
Nkichukia hua nauwa kabisa๐๐
Kabisa Mkuu. ๐คฃ๐คฃUhai wa huu uzi tutaulinda kwa jasho na damu
Labda mpuuzi mama yako. Huna mamlaka ya kunipangia maoni. Huyo mchezaji wenu mkitaka tusimtolee maoni mwambieni akacheze uvunguni mwa aliyemsajili. Ila akicheza huku public tutamuandika tu
damuUhai wa huu uzi tutaulinda kwa jasho na damu
Dada yangu samahani sana
Nadhani mimi na wewe tunaheshimiana sana
Tafadhali,tafadhali yaani tafadhali sana
Nkichukia hua nauwa kabisa๐๐
DahUzi wa Takwimu Kibu D Vs Mayele baada ya watu kumuandama ,mods wakaedit heading wakatoa neno "Zinatia uchungu sana " kama humu watoe neno "Kihasibu" ambao kimsingi mashambulizi yamebase kwenye hayo maneno , mods hawakuridhika wakafuta comment nyingi mule sisi tukawa hatujui mpaka kelphin akatustua kuwa huu Uzi tayari umehujumiwa.
Baada ya hapo tukaanzisha mgomo mule na hashtag nyingi za #BringBackOurHeading na Comments,pamoja na kuwatuhumu mods kuwa Anko Mwasibu kawapa hongo waudhoohofishe Uzi ,tukamtag mpka Maxece Melo na kutishia kuwa hatukubali sio haki walichofanya na wasipokubali matakwa yetu hatutochukulia Hilo swala kiurahisi tutawafikisha Jf pabaya.
Ilikuwa mtiti sana mpaka Mimi kiongozi wa Mgomo huo nikahisi nitatumiwa polisi kukumatwa au nitapewa Ban , akaja mod Cookie akasema kwamba Kuna siku niliwahi kusema kuwa Mods wamuhurumie wabadilishe heading inamdhalilisha na wafunge Uzi ndio maana wamefanya hivyo , nikakumbuka kuwa niliwahi kusema kweli ila kimasihara ikabidi niwaonbe radhi raia wenzangu na Uzi mods wakaurejesha kama tulivyotaka katika asili yake.
Mkurugenzi,Hii ni fedheha Kwa muanzisha Uzi.Wakiufunga moto utakaowawakia hawataamini. Wauache tu maana mwasibu mwenyewe ni ngangari kweli kweli!
On a serious note: Sidhani kama anachukulia serious japo pale mwanzoni alikuwa mkali kweli kweli. Natumaini huwa anaishia kucheka tu!
๐๐๐๐
๐๐๐๐
Nakupenda ๐๐Dah
Hii imezidi
Kila mtu anamtukana jamaa sio poa
Ni kweli mkurugenzi ila naamini hata yeye anachukulia poa tu. Vinginevyo angekuwa ameshawaomba mods waufunge au waufute kabisa. Mimi nauchukulia kama sehemu ya utani tu japo ni kweli kuna wengine wanakaribia kuvuka mstari hata kama ni matani.Mkurugenzi,Hii ni fedheha Kwa muanzisha Uzi.
Hivi huyu jamaa alieandika hivi yupo?Wachezaji wa Yanga wana Jihad siku zote na mashabiki wao wana Hasira.
Waliposema nyumba Mwiko walikuwa wanamaanisha.
Ngoja sasa waje wakutimulie vumbi. Maana wao wako bize na Dejan wanasahau wana watu kibao pale hata goli moja hawana.
Ni kweli mamaโค๏ธ๐ ๐Mwenzenu yupo kuwapa Amsha amsha utopolo kwa mbio hajaja kufunga labda wambadilishie role yake.
Agost 31๐ ๐ ๐ ๐Asubuhi asubuhi badala ya kumpiga mashine mkeo unakuja kuhangaika na uzi. Hovyoooooo
Kaka kiatu anabeba feisalUzi tutaufunga siku ya sherehe za Aziz Ki kukabidhiwa kiatu chake cha dhahabu cha mfungaji Bora wa msimu huu wa 2024.
Sasa Simba lile zee Lao la kulazimisha ufungaji Bora mechi moja anafuga magoli matano ya mchongo kapotelea wapi?
Oya sio powAgost 31๐ ๐ ๐ ๐
Hua nacheka kinoma nkisoma hi comments
Mkuu hi ndio last seen yako humu
Ulikuja kutupangia muda wa kupiga mashine๐ ๐ ๐๐๐๐๐๐๐
Cc @kelpin
Kaka kiatu anabeba feisal