Kihasibu: Hasara ya Milioni 400 usajili wa Aziz Ki kwenda Yanga

Kihasibu: Hasara ya Milioni 400 usajili wa Aziz Ki kwenda Yanga

Kutokukiri mapema kuwa Aziz K kaprove wrong kuwa ununuzi wake ni hasara ni sababu huu uzi kumwandama ndugu OKW. mapema tu ile unakiri kukosea, hakuna mwanamichezo asiyekosea uchambuzi.
 
Mwasibu kula chuma hichoooo!

Screenshot_20240502_194515_WhatsApp.jpg

 
Uzi wa Takwimu Kibu D Vs Mayele baada ya watu kumuandama ,mods wakaedit heading wakatoa neno "Zinatia uchungu sana " kama humu watoe neno "Kihasibu" ambao kimsingi mashambulizi yamebase kwenye hayo maneno , mods hawakuridhika wakafuta comment nyingi mule sisi tukawa hatujui mpaka kelphin akatustua kuwa huu Uzi tayari umehujumiwa.

Baada ya hapo tukaanzisha mgomo mule na hashtag nyingi za #BringBackOurHeading na Comments,pamoja na kuwatuhumu mods kuwa Anko Mwasibu kawapa hongo waudhoohofishe Uzi ,tukamtag mpka Maxece Melo na kutishia kuwa hatukubali sio haki walichofanya na wasipokubali matakwa yetu hatutochukulia Hilo swala kiurahisi tutawafikisha Jf pabaya.

Ilikuwa mtiti sana mpaka Mimi kiongozi wa Mgomo huo nikahisi nitatumiwa polisi kukumatwa au nitapewa Ban , akaja mod Cookie akasema kwamba Kuna siku niliwahi kusema kuwa Mods wamuhurumie wabadilishe heading inamdhalilisha na wafunge Uzi ndio maana wamefanya hivyo , nikakumbuka kuwa niliwahi kusema kweli ila kimasihara ikabidi niwaonbe radhi raia wenzangu na Uzi mods wakaurejesha kama tulivyotaka katika asili yake.
Dah
Hii imezidi
Kila mtu anamtukana jamaa sio poa
 
Wakiufunga moto utakaowawakia hawataamini. Wauache tu maana mwasibu mwenyewe ni ngangari kweli kweli!

On a serious note: Sidhani kama anachukulia serious japo pale mwanzoni alikuwa mkali kweli kweli. Natumaini huwa anaishia kucheka tu!
Mkurugenzi,Hii ni fedheha Kwa muanzisha Uzi.
 
Wachezaji wa Yanga wana Jihad siku zote na mashabiki wao wana Hasira.

Waliposema nyumba Mwiko walikuwa wanamaanisha.

Ngoja sasa waje wakutimulie vumbi. Maana wao wako bize na Dejan wanasahau wana watu kibao pale hata goli moja hawana.
Hivi huyu jamaa alieandika hivi yupo?
 
Asubuhi asubuhi badala ya kumpiga mashine mkeo unakuja kuhangaika na uzi. Hovyoooooo
Agost 31๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
Hua nacheka kinoma nkisoma hi comments

Mkuu hi ndio last seen yako humu
Ulikuja kutupangia muda wa kupiga mashine๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Cc @kelpin
 
Uzi tutaufunga siku ya sherehe za Aziz Ki kukabidhiwa kiatu chake cha dhahabu cha mfungaji Bora wa msimu huu wa 2024.

Sasa Simba lile zee Lao la kulazimisha ufungaji Bora mechi moja anafuga magoli matano ya mchongo kapotelea wapi?
Kaka kiatu anabeba feisal
 
Agost 31๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
Hua nacheka kinoma nkisoma hi comments

Mkuu hi ndio last seen yako humu
Ulikuja kutupangia muda wa kupiga mashine๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Cc @kelpin
Oya sio pow
Me nliscreenshoot hiyo comments kabisa๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
 
Back
Top Bottom