General Akudo
JF-Expert Member
- Nov 28, 2017
- 560
- 827
inaonyesha ni jinsi gani baadhi ya watz au tulio wengi level zetu zipo sawa na kina......Cha nsingi Mtu kafungwa na kafungika na Mji wa Mbeya umetulia kinyume na matarajio Uchwara ya kuibuka Vurugu
Mtu yeyote anayejifunza lugha isiyo yake kwa kuzaliwa nayo huiongea kwa mapungufu. Hawezi kuiongea kwa ufasaha unaotakiwa. Mtumwa ni yule anayedhani akikosea kuiongea lugha ya watu na kuchekwa amepata hasara.sasa sio lugha yako ..kwann mitaala yote watumia kufndishia kiingereza ...huo sindio utumwa wenyewe wafrikra ..yaani umekubali kufundishwa kwa lugha hiyo halafu waikana...
maskini tz ..hahaaa
Kwani UDSM ndio kuna nini?......angalia vituko vya maprofesa wake walioko serikalini unachoka kabisa seuse hawa undergraduate?!.....chuo kilikuwa IDM Mzumbe bhana kabla hakijachakachuliwa!Je huyu kasoma Udsm kweli? Kwa kiingereza hicho ni kweli vyuo vyetu vinatoa matutusa kuliko wataalamu.Lisu angekuwepo hakimu angejinyea
Mbona wewe unamzidi raia wa Kenya kiswahiliMwanafunzi wa darasa la nne Kenya anamzidi hakimu kwa lugha ya malkia. Siamini macho yangu. Sentecing kweli au utani wa majirani.
of coz it was a Joke of the decade if not century, but my worry is, the Integrity of our judicial system, it has been paralysed to extent that it cant be further entrusted in granting justiceNdo shida ya kukabidhi vilaza nafasi nyeti!.
Angekuwa mzima "upstairs" asingekubali SHINIKIZO la kijinga!
Ona aibu aliyoivuna!
Rufaa inapeta kiulaiini. The judgment is a scrap!
Kwa nini hakimu hajaandika kiswahili kama kina thamani sawa na kingereza?Slavery mentality ndiyo inawasumbua Waafrika. Wachina, Warusi na Wakorea hawababaiki na hiyo lugha ya kitumwa ndiyo maana wanashindana na hao waongea kiingereza na wanahaha sana. Waafrika mpaka tujitambue ndiyo tutapata maendeleo. Sasa lugha hiyo ya kitumwa ndiyo imekuwa issue ya kuongelewa kiasi hicho....!! Ingekuwa Wachina hata habari wasingekuwa nayo!
Utetezi wa k itoto,mbaazi ikikosa maua!Jamani kwanini tunalumbana na lugha ya watu wengine?wenye lugha wanatushanga Sana, kwanini Trump anatuona wajinga? Kwa mambo madogo kama haya, lugha siyo yetu kwanini kiwe kigezo cha usomi?wachinina, wajerumani, wajapani,Waturuki, warabu,Wafaransa pia na hata Wakorea viinchi vidogo wanatumia lugha zao, sisi Kwetu kingereza ni ufarahari, tujitambue jamani lugha yamwenzio ni utaumwa.
Huu ni uchokozi na uchochezi wa wazi wazi... Ina maana hiyo bikini imeandikwa na nani....[emoji28][emoji28][emoji28]Hii huku hakuandika hakimu, tafuteni hukumu zake za nyuma tulinganishe na hii tuone.
Huyu lakini hajifunzi.. Amejifunza miaka mitano shule ya msingi (darasa la 3-7) amejifunza miaka 4 sekondari.. Amejifunza lugha hiyo hiyo miaka 2 sekondari ya upili... Amekwenda Chuo kikuu amejinzia lugha hiyo hiyo.. Hatuwezi kusema hajaelewa bado.. Hiyo inamuweka kwenye kundi la wenye vichwa vizito.. Na ili kuepusha aibu kama hizi kwa mfumo wetu wa sheria wote angejifunza kazi za mikono.. Veta.Mtu yeyote anayejifunza lugha isiyo yake kwa kuzaliwa nayo huiongea kwa mapungufu. Hawezi kuiongea kwa ufasaha unaotakiwa. Mtumwa ni yule anayedhani akikosea kuiongea lugha ya watu na kuchekwa amepata hasara.
hata mimi hicho kipande kimenifurahisha, Hakimu katisha sana! hahahKali zaidi ni hapo alipoandika ''If he contract sickness, even not serious the country currecy must lose it is value'' Kumbe ndio maana shilingi yetu inaporomoka kila siku kwani bwana mkubwa hata akipata mafua tu inaporomoka! Asante sana hakimu!