Papushikashi
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 10,963
- 13,287
Kitu gani kimekukwaza dada yangu. Mbona mnajali vitu vidogo sana.
Jamaa yuko huko anatafuta masoko ya mazao yetu, tuchimbe mafuta na ndugu zetu, sisi tunaongelea lugha.
Muhimu tumuambie atembee zaidi, DRC, Zambia, South Africa, China, India, Germany, UK, France, Brazil, Saudi Arabia, Dubai, Qatar, Nigeria, Indonesia.
Masoko yote makubwa duniani tupate masoko ya bidhaa zetu hasa za kilimo, ni utoto kuzungumza kuhusu lugha.
Ni kidhungu au kiburushiONLY WORK CAN SAVE US. TANZANIANS THEY WERE NOT WORKING EVER SINCE.
We mwache tu... Hatutaki kuokota watu kwenye sandarusWatch your mouth.He is back!
Masoko Malawi au wapi? Acha masihara
Jamani Rais wetu bora aongee kiswahili tu. Everyone have ndo nini?
Ndio nchi ya watu zaidi ya 18 milioni. Hawazalishi chakula cha kujitosheleza wakulima wa kusini wa mahindi, mchele, mbaazi, mihogo, njegere nk wanaweza kupata soko la kudumu.
Nini kinakushangaza? Kwamba Wamalawi pia ni binadamu wanahitaji chakula? Ila hawana uwezo wa kujitosheleza, sisi tunaweza kuwapa chakula kizuri bei poa. Win win situation tatizo wapi?
Ukizunguka hapa kwa majirani, soko ni kubwa sana Kenya 50m, Rwanda 12m, Burundi 10m, South Sudan 12m, Zambia17m, DRC 90m tumeisaidia sana kupata amani. Jumla watu zaidi ya millioni 200 wanahitaji chakula chetu, kupititia kwetu.
Hatujaenda Nigeria, Saudi, Qatar, Dubai, China, India, German, UK, USA, Canada, France?
Kama tunaweza ku-leverage these natural advantages tutawakomboa wakulima wetu. Tuanze na majirani.
kwani vyuo vyetu havitumii ANTIPLAGIARISM software kubaini kama mwanafunzi kanakili kazi za watu wengine (copy & paste)??[emoji23][emoji23][emoji23] ila bana huyu mzee Phd yake sijui alidesa!
Zinaweza zikawepo ila sio kila mtu atachunguzwa. This is Tz mkuu!kwani vyuo vyetu havitumii ANTIPLAGIARISM software kubaini kama mwanafunzi kanakili kazi za watu wengine (copy & paste)??
Zinaweza zikawepo ila sio kila mtu atachunguzwa. This is Tz mkuu!
[emoji23][emoji23] kwahiyo plagiarism software ndo ulimaanisha inaweza tambua uhalali wa phd ya mtu .. daah haya bwana Ccm oyeeeSasa, kwanini mnazitilia mashaka Phd za watu??!, only because of poor communication skills!! Does it make sense??[emoji848], Aiii Wajameni hapa kazi tu!!
Zinaweza zikawepo ila sio kila mtu atachunguzwa. This is Tz mkuu!
[emoji23][emoji23] kwahiyo plagiarism software ndo ulimaanisha inaweza tambua uhalali wa phd ya mtu .. daah haya bwana Ccm oyeee
[emoji23][emoji23] kwahiyo plagiarism software ndo ulimaanisha inaweza tambua uhalali wa phd ya mtu .. daah haya bwana Ccm oyeee
Mkuu, hii ramani inaonyesha hali yetu ya kujitosheleza kwa chakula sio tofauti na nchi majirani ulizozitaja. Yaani, zingine hali yao ni hata bora kuliko yetu
View attachment 1081396
Chanzo:https://images.search.yahoo.com/search/images;_ylt=AwrE1yCPXcJcySEA465XNyoA;_ylu=X3oDMTEyY3VucDBuBGNvbG8DYmYxBHBvcwMxBHZ0aWQDQjY4MjFfMQRzZWMDc2M-?p=food+self+sufficient+countries+in+africa+2017&fr=crmas#id=3&iurl=http://lh3.ggpht.com/-ZO17QkCseFU/ToSYQPPqKjI/AAAAAAAAEmU/LU1BOgVUlzU/w1200-h630-p-k-no-nu/image_thumb4.png?imgmax=800&action=click
Je wewe unaweza kuongea icho kingereza. Unampondea Mr president hata wewe mwenyewe kingereza huweziJamani Rais wetu bora aongee kiswahili tu. Everyone have ndo nini?