Kiingereza ni majanga kwa Rais wetu

Kiingereza ni majanga kwa Rais wetu

Status
Not open for further replies.
Kajitahidi jamani yaani kapiga kinge kwa huo muda makofi tafadhari maendeleo mazuri kabla ya mwewe hajakwenda mamtoni

mpuuzi mpuuzi tu
 
Haya madanga ya zama zile yanakera kweli, tunajua maisha yamebana na mjipange kuzoea kutokuishi kwa vyupi, eti kingeleza..utumbo mtupu, wamekuambia hawajaelewa?
 
Kwanza amejitahidi mno. Kiingereza ni lugha yetu ya nne baada ya Kiswahili, kilugha cha mama na baba. Ningekuwa yeye ningeongea Kiswahili kabisa na translator afanye kazi yake. Mbona hamuwasemi wachina na wajapani? Yaani tujue lugha ya kiingereza siyo maendeleo ya nchi. Wananchi wanataka Miundombinu imara na pesa mfukoni. Blablaa za lugha siyo kipaumbele kwao.
 
Kwanini asiongee Kiswahili?
Watu hawaelewi kiswahili kule, mkalimani unnecessary cost for something magu can do himself regardless his faults every sane individual will understand him. Something nyumbus like you, can not comprehend.
 
Nyumbu ni hicho Kiingereza chako cha kipumbavu! mpuuzi wewe!
 
Kwanza amejitahidi mno. Kiingereza ni lugha yetu ya nne baada ya Kiswahili, kilugha cha mama na baba. Ningekuwa yeye ningeongea Kiswahili kabisa na translator afanye kazi yake. Mbona hamuwasemi wachina na wajapani? Yaani tujue lugha ya kiingereza siyo maendeleo ya nchi. Wananchi wanataka Miundombinu imara na pesa mfukoni. Blablaa za lugha siyo kipaumbele kwao.
Hiyo 'miundo mbinu imara' iko wapi?
 
Shame on you!Majanga kitu gani! lengo lako kumdhalilisha rais wetu toka hapa wewe unajua kiingereza!.Maendeleo hayaletwi na kiingereza!
Ndiyo keshajidhalilisha huko Malawi. Pole sana
 
Watu hawaelewi kiswahili kule, mkalimani unnecessary cost for something magu can do himself regardless his faults every sane individual will understand him. Something nyumbus like you, can not comprehend.
Henry Kissinger alishtuka sana alipotembelea China kwa mara ya kwanza kwamba muda wote aliopokelewa na kufanya kazi na Chuo-en-Lai (huyu alikuwa waziri mkuu wakati huo) waliongea kupitia mkalimani. Ajabu siku anaondoka wakiwa uwanja wa ndege ulipowadia wakati wa kuagana alishangaa Chuo-en-Lai akimuaga na kumsemesha kwa lugha fasaha ya kiingereza. Nadhani kwa vile Tanzania ndiyo nchi mama ya kiswahili, ni mantiki kwamba viongozi wetu wawatumie wakalimani huku wao wakibakia kwenye kiswahili. Jambo hili halihitaji kubana matumizi. Ni sura ya nchi
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom