Kiinua mgongo cha Wabunge chashushwa toka Milioni 238 kuwa Milioni 130!

Wewe jamaaa mnafiki sana kwenye uzi wangu wa kupinga kiinua mgongo ulisema hizi pesa ni ndogo sana leo hii umebadilika.

Miafrika bana.

Hapana nilisema vile kwa uchungu sana maana waliamua kujigaia mipesa bora waongeze tu,Ila kiukweli 130 ni nyingi kwao maana wamepiga hela nyingi za tasaf na mifuko ya jimbo.
 
mgeni wenu

Kama mwishi wa mambo utakua hivi jumlisha na unyunyu wa segerea kwa Yona na Mramba nitanenepa kwa furaha.
 
Last edited by a moderator:

Kwani ..ndomu huwa inalalama ikishatumiwa?
 
130 M bado ni nyingi sana, ingepungua kuwa 50 M hivi
 
Washapigia hesabu hiyo hela na walishaipangia bajeti ya kuwarudisha bungeni.Imekula kwao

kumbe wao cha msingi zaidi ni pesa na wala si maslahi ya Taifa. Ukawa wapo tayari kw lolote lile, pia wapo tayari kupoteza pesa ktk kupigania maslahi ya umma. Kama hivyo ndivyo CCM wanaweza hata kuuza nchi ili kupata fedha. Hatari sn
 
wabunge ndio wa kwanza kuwaambia vijana wafanye biashara hata kama msingi mdogo, sasa na wao wasiwe mandorooooooobo wakalialia hizo 130 zinatosha kabisa kuwa mitaji yao
 
kwa bunge hili lililopitisha sheria mbovu na zisizotekelezeka kama ya mtandao hata wasipopata hata shilingi sawa waende kwa mabwana zao watangaza nia wakatembeze mabakuli
 
ha ha ha ,tuliwambia,sasa mwaka huu kampeni mtafanya kwa baiskeli kama ndo kweli zimefutwa.

na mkizengua zaidi hata kidogo kilichobaki mtalipwa baada ya mwaka huu,serikali haina hela za kuchezea....
 
Wewe jamaaa mnafiki sana kwenye uzi wangu wa kupinga kiinua mgongo ulisema hizi pesa ni ndogo sana leo hii umebadilika.

Miafrika bana.

miafrika ndivyo ilivyo by nyani ngabu
 
Hii habari ni msiba mzito kwa Tundu Lissu alishaipigia hesabu hii pesa mpaka akakiri kuwa ubunge umemtia umasikini.
Na mimi nilisoma hii somewhere ndo nikaprove pesa mwanaharamu....haina UKAWA wala CCM
Wananchi tunatumika tu kushangilia michezo tusoijua
 
baada ya miaka kumi ya kutokubaliana nae kwa lolote kwa hili namuunga mkono baba yake na classmate wangu wa makongo high school,ndugu miraji, frankly speaking i congratulate u mr president.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…