Acha kuonesha upumbav.u wapo peupe. Hakuna kitu kama hicho.Sheria ipi imevunjwa! Posho ya wabunge inategemea hisani ya Rais na si vinginevyo!!
Hii ni kweli CAG amependekeza walipwe millioni 130 na siyo 238 walizotaka. kuna dalili wabunge wa ccm kugomea nao hiyo kesho hotuba ya mwenyekiti wao
Mnambie nyhe mlio karibu na CAG, hivi marupurupu na mafao ya wabunge ni CAG? Hivi sheria ya mafao ya wabunge inasemaje we Mgeni wetu. I'm confused ' CAG amebatilisha toka m.238 hadi m.130. Halafu UKAWA wameingiaje humo ktk kubadilisha maamuzi?
Acha kuonesha upumbav.u wapo peupe. Hakuna kitu kama hicho.
Mnambie nyhe mlio karibu na CAG, hivi marupurupu na mafao ya wabunge ni CAG? Hivi sheria ya mafao ya wabunge inasemaje we Mgeni wetu. I'm confused ' CAG amebatilisha toka m.238 hadi m.130. Halafu UKAWA wameingiaje humo ktk kubadilisha maamuzi?
Uko sahihi kabisa mafao ya wabunge ni hisani ya Rais! CAG hana mahali pa kuhoji na isitoshe CAG hukagua fedha zilizotumia na sio zitakazotumika!!Hata mimi hili la CAG nimilishtukia ila sikutaka ku spoil uzi..maana tukianza kuchambua kila element uzuri wa hii newz utapotea...kama ni kukata atakuwa prezida wala si CAG...hata kama kuna tume inayomshauri....yeye ndo final
Upepo? Nadhani tope!
hii itasaidia sana kuwafundisha wabunge especially wa ccm kuwa bunge ni muhimili unaojitegemea co sehemu ya ofisi ya rais
ni jambo jema na la kheri kwa taifa.
Na baba Ritz atakuwa ametundea HAKI wadanganyika pale atakapo waruka kwa asilimia 100,kwa kutosaini ule MUSWADA FEKI wa GAS na PETROL
sasa wametimka bungeni rasmi na kwenda ukumbi wa msekwa
Hata hiyo milioni 130 nyingi sana ,, wapewe kiinua mgongo milioni 2 zinawatosha kwanza hakuna kazi yoyote wanayoifanya hapo bungeni zaidi ya kunywa bia na kula kuku chako ni chako
Wanataka kumuua Mr.II kwa Presha!