Kijana acha kujiita jobless, chukua hii achana na ubishoo

Safi sana. Nicheki kwa ukaribu nikuongezee maujuzi ya Kutengeneza karanga za bei kubwa zaidi ya hizo. yaani nusu ya kipimo chako ila bei ni hiyo hiyo. USIPUUZE
 
Safi sana. Nicheki kwa ukaribu nikuongezee maujuzi ya Kutengeneza karanga za bei kubwa zaidi ya hizo. yaani nusu ya kipimo chako ila bei ni hiyo hiyo. USIPUUZE
Huu ndo uzi wa karanga, sema hspahapa kila mtu afaidike
 
Huu ndo uzi wa karanga, sema hspahapa kila mtu afaidike
changamoto picha tuu ila inshort, zangu naziita karanga njugu. kwasababu zinatoka kama njugu, rangi nachagua mwnyewe, nizitoe nyeupe zakaki au rangi ya kama zako. na karanga haionekani kabisa, na kama inaiva vizuri ukiitingisha unaisikia karanga kwa ndani. mahitaji yanaweza kua hayohayo japo mimi naweka mpaka vanilla.

so tunatofautiana katika kuchanaganya unga tuu. nimeenda mbali zaidi natengeneza hadi za unga wa mhogo kwakutoweka sukari ii nifanye biashara hadi na wenye matatizo ya kiafya.

nataka nikuelekeze namna ya kuchanganya unga tuu. ila nitaweka picha kwanza uone zinavyokua. karanga hazionekani na zinakua na shape ya golori.

nnazozitengeneza
Katika Kilo kuna Mayai 5 nadhani unaona tuu huo utofauti.
 
Zinafanana na zile Diamond karanga?
Nasubiri maelezo zaidi, hata pm nitakuja mkuu.
 
Safi sana. Nicheki kwa ukaribu nikuongezee maujuzi ya Kutengeneza karanga za bei kubwa zaidi ya hizo. yaani nusu ya kipimo chako ila bei ni hiyo hiyo. USIPUUZE
Mimi siuzi nilitengenez kwajili ya kula tu home
 
Nishawai taka jaribu nikakosa maziwa ya unga si unachanganya pembeni
 
Asante kwa ushauri Mkuu
 
Impressive. Hongera Sana mkuu Mungu akukumbuke na asante kwa somo
 
Nishawai taka jaribu nikakosa maziwa ya unga si unachanganya pembeni
radha ni wewe mwenyewe .. mi siweki maziwa ila radha utakayoipata utaamini kuna maziwa. hapa nataka niijaribu hiyo blueband nione itanipa radha gani nyingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…